LINEX AMPIGA CHINI DEMU WAKE WA KIZUNGU....KISAA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kilichokua kinafata ni ndoa ambayo ilikua imepangwa na wote wawili baada ya Linex kukamilisha hatua muhimu ambayo ni kumvisha pete mchumba wake anaitwa Suvi raia wa Finland mwezi March 2013.


Millardayo amepata nafasi ya kuzungumza na Linex 
kwenye exclusive interview ambayo amekiri ni kweli imebidi kila mmoja aendelee na maisha yake na mapenzi yao kuisha kwa sababu kadhaa zilizojitokeza.

Sababu kubwa ni Suvi kutaka Linex ahamie Finland moja kwa moja na kwenda kuanza maisha mengine kwenye hiyo nchi ambayo ndio ingekua mara yake ya kwanza kufika, namkariri Linex akisema ‘kwa nia nzuri kabisa imekua ngumu kwangu kukubali hayo maamuzi, nataka kuendelea kufanya muziki wangu nyumbani’


‘Tayari nimetumia miaka zaidi ya 10 kutengeneza jina langu kwenye muziki hapa Tanzania, bongo mimi naishi vizuri na familia yangu naisaidia… sina tatizo la kuhangaikia maisha kwa kiasi hicho cha kwenda kuanza tena, yani ni sawa na mtu ameshaanza chuo mwaka wa kwanza alafu mtu anataka kukurudisha darasa la kwanza’

Sababu nyingine ni ‘mimi nimekua upande sana wa mama yangu, tayari nimeshanunua kiwanja namjengea mama yangu na biashara pia hivyo siwezi kuacha hii mipango isimame kwa sababu ya mapenzi, siwezi kuondoka kwenye maisha yangu kwenda kwenye maisha mengine sababu ya mapenzi’

Linex na Suvi walikua wamepanga kuoana lakini kwanza ilikua Linex anatakiwa kwenda Finland kutambulishwa manake ndugu wa mke mtarajiwa walikua wanamsikia tu hawajawahi kumuona, kisha angekwenda Finland kufunga ndoa alafu arudi tena Tanzania kufanya sherehe kisha aondoke moja kwa moja kuhamia Finland’

Ndoa ilikua inatakiwa kufungwa kabla ya february 2014 ambapo uhusiano wao umedumu kwa miaka miwili… baada ya kukutana kwa mara ya kwanza kwenye ndege Linex akitokea Nairobi ambapo Suvi  alikua anatokea Finland na kuja Tanzania/Afrika kwa mara ya kwanza, Linex akamfanyia ukarimu ikiwa ni pamoja na kumpeleka mpaka hotelini’

Kwa kuwa Suvi hakuwa na simu kwa wakati huo, Linex alimwachia namba ya simu lakini Suvi alikua kimya kwa kipindi chote cha mwezi mmoja mpaka siku moja Linex alipokutana nae Mlimani City Dar es salaam ndio urafiki ukaanza, Linex akawa anamtembelea hotelini na Suvi akawa anakwenda nyumbani kwa Linex kwa kipindi cha miezi minne ndio wakaingia mapenzini.

Credit: MillardAyo 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kama vp atafute demu wakibongo huyo mzungu dizain kama anazingua

    ReplyDelete
  2. wazungu wanawapelekesha sana wanaume wa kiafrika.!linex una akili

    ReplyDelete
  3. I feel sorry for both of you, guys. Hope u find a way to work things out.

    ReplyDelete
  4. Hao wazungu ndio zao hao wanacontroo sn midume ya kiafrika, haaaaaa unaoa unaolewaa??

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huo ni ubaguzi dogo kitendo cha kusema mzungu ushambagua,mkibaguliwa nyie mnapiga kelele. kum control mtu ni mapenzi yao hayakuhusu

      Delete
  5. linex yuko kund baya sana sahivi muda si mrefu naye atakuwa choko tuu

    ReplyDelete
  6. Maisha ni kuthubutu, hata muziki ulijaribu ndipo ukajikuta umefikia ulipo. Aidha njia za kufanikiwa ziko nyingi huenda hata huko ulaya ungefanikiwa kimuziki kwa kushirikiana na huyo binti. Kama alikupenda kwa dhati nawe ukampenda kw kiasi hicho wala asingekufanyia kitu mbaya.

    Mi naamini hujaeleza ukweli wa kuachana kwenu huenda sababu ni nyingine ndo umeamua kutuzingua. Au hakutaki na alijua kuwa kukupa kikwazo kama hicho ungekataa kama ilivyo ili akubwage aende na hamsini zake.

    Kwanza kwa tuliozoea joto la wabongo hatuwezi lala na wazungu kwani si watamu kabiiisaaaa. we umemkumbuka Chausiku au Pamela wa kibongo.

    ReplyDelete
  7. Linex usipumbazwe na rangi.Nadhani mwenyewe umeshashuhudia jinsi watasha walivyo wa baridi na kale kaarufu chao cha mbwa aliyenyeshewa na mvua!

    ReplyDelete
  8. Linex nilikuwa naeshimu Sana mawazo yako na song zako lakini hili swala linanifanya nifikirie ile wimbo WA aifola Mara mbilimbili cos naomba nikukumbushe usije ukaruka majivu ukakanyaga Moto cos nachojua Mimi maisha popote na upendo huvumilia hauesabu mabaya husitiri na kama mpk ulimvisha Pete na jua kaka hukukurupuka ushajua kwamba anakufaa maishani mwako kuhusu kuinvest bongo huwezijua Finland ndiyo Mungu anajua huko ndiko kutakutoa zaidi kimaisha na mum akamsaidia kuliko sasa nakama amekupenda kwadhati atakusupport kwa moyo wake wote katika kila kitu mnachopanga(usiwe mwanamme mjinga anaye ivunja ndoa yake kwa mikono yake yemwenyewe but don't waste her time if don't want her someone will.

    ReplyDelete
  9. Kumbe huna akili kiasi hicho. Fala kweli wewe the only truth ni kuwa hujampenda mzungu wa watu ulichokua ukitaka labda ni kumchuna. Fala kweli wewe. Wangapi wako nje na bado wanasaidia kwao. Wewe ni kuku wa kienyeji tu hata ufungiwe bandani utachakuachakua mpaka utoke nje

    ReplyDelete

Top Post Ad