MDOGO WA DIAMOND PLATNUMZ AIMBA WIMBO WA KUMPONDA DIAMOND, ASIMULIA HISTORIA YA DIAMOND-SIKILIZA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


HUU wimbo hatari tupu.Inaelezea maisha ya Diamond kabla hajatoka kimuziki.Dogo aloimba anadai Diamond ni ndugu yake wa damu na hakumbuki alipotoka. Duuh kaongea mambo mengi sana.Sina mbavu kwa kweli.Isikilize hapa Chini.Ni balaa tupu.Ni bonge moja la Ngoma, AUDIO HII HAPA CHINI
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

43 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sema na roho yako dogo huo ndio mwanzo wa uchawi

    ReplyDelete
  2. Duh! Hii kali. Haya dogo.

    ReplyDelete
  3. Sasa kama walienda wt hko vikindu cjui wapi,c na yy arudie hayohayo aloyafanya kaka yake ili nae ang'ae. Dogo yuko shallow..

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwan wangapi wameenda kwa waganga na hawajatoka,na yeye aende tuone kama atatoka,tatizo dogo anatumiwa kumchafua bro. wake bila kujijua afu inawezekana c wa mama m1,JINGA SAAAAAAAAAAAAAAAAAANAA

      Delete
  4. Kwan mwenzenu kawambia ana ugomv na ndg yake?? ye kaimba just entertainment 2 mbona shobo nyng mdau.ila unafurahisha kw kwel. Lol

    ReplyDelete
  5. Hahahaha...et madem wa bongo muvi anawapanda kama farasi. Dogo anamaneno...stress free zone

    ReplyDelete
  6. acha uchaw wa kutafuta kiki boya wewe...

    ReplyDelete
  7. Hahahaaa dogo u made my night.

    ReplyDelete
  8. Asiseme kaka yake kuw dogo anatafta kick useme wewe bhana!! Shobo 2 dogo leta stori..very funny song

    ReplyDelete
  9. Kuna kipindi diamond alihojiwa mkasi na salama it was about nyimbo za wizi akadai anazo nyingi sana mpka michiliku.. And dogo nae kaja na mchiliku... May be they know each other even before or they composed some songs... Ni mtazamo wangu tu.. Samahani lakini

    ReplyDelete
  10. Hahahaa wonderful lyftime story.

    ReplyDelete
  11. Just entertainment

    ReplyDelete
  12. Hana lolote anatafuta umaarufu

    ReplyDelete
  13. He's a good singer yet he's doing work of art, so nothing's wrong.

    ReplyDelete
  14. U r right body. Hapa juu

    ReplyDelete
  15. tunatokea mbali sana kabla ya mafanikio, kumbe jamaa alikua anabong'oa na kuachia mashuzi muda wa kula?
    ref. KIDE, DOGO S DSM (2013)

    ReplyDelete
  16. He huyu kanyimwa pocket money na Diamond sasa kaona apayuke hovyo Kweli joto hasira eti tumbo moja ila mama tofauti what the heck is that??!! Get a life dude kick haitafutwi hivyo unaonekana una njaa kweli we kibwengo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umesikia vibaya it's Pumbu 1

      Delete
  17. Kunymwa lazma anyimwe 2 ela zenyewe c masharti babu. Mashart hayaruhusu babu ushirikna unahusika xana kwa mastaa we2

    ReplyDelete
  18. Hata diamond alishasema yye mti wenye matunda milele haogopi kupgwa mawe. Dogo anatafuta kik 2 but anajua kuwa anabidii na anafoc kma jogoo.

    ReplyDelete
  19. Hahahaaa! eti bb kajiunga na dini ya wavaa sut...duh! Anapaa uchi ucku kama alivyozaliwa. Lol!

    ReplyDelete
  20. Kama Bibi katolewa rehani kwa Dini ya wavaa suti,sasa dogo naye akimweka Babu rehani si ukoo umekwisha...hahaaa

    ReplyDelete
  21. Hahahaaa..u make ma day mdau -upstair

    ReplyDelete
  22. dogo bwana, sa' sijui hapo ana maanisha nini...!?

    ReplyDelete
  23. Hahaha dogoo kazana nawewe siku moja madem wakugombanie khaa

    ReplyDelete
  24. hahahahahaha ur funny dogoo

    ReplyDelete
  25. Dogo kaza kaza msuli,mamis wote watakua wako

    ReplyDelete
  26. tuambie dogo utapaform ukumbi gani maana sijui kiingilio ni shilingi gapi labda wavuta unga ndio watakuja kucheza hiyo mziki yako pia nawewe ulikua ukifanya kazi gani mpaka ukafikia hapo ulipo acha ujinga tafuta maisha yako usitafute mtu katoka je shezi

    ReplyDelete
  27. Uwiiiii mm penda sana hii nyimbo...!!

    ReplyDelete
  28. Nadhani kuwa kwa Diamond kuruka ghafla na kuwa bilionea kwa muda mfupi sana huku akiwa na nyimbo zisizofika hata ishirini, ni muhimu sasa akae chini atulie aangalie tena alikotoka. Asipaangalie kwa kutumia kurunzi ambayo amekuwa anatumia sasa ya kuogopa kurudi huko bali aangalie kwa kutumia kurunzi ya wale aliowaacha huko. Ukweli wa wazi ni kuwa watu wengi sana hujaribu lakini ni wachache hufanikiwa; ukishafanikiwa inabidi ujue namna ya kuishi na wale ambao hawakufanikiwa kwani mafanikio siyo kuwa huashiria kuwa wewe ni zaidi ya wote bali vile vile hutegemea na bahati ambazo wengine huweza wasiwe nazo hata kama wanafanya vizuri zaidi yako. Mashairi ya dogo huyu yanaonyesha kuwa inawezekana diamond hajaangalia namna ya kuishi na aliowaacha huko nyuma tangu Tandale hadi huko aliko sasa hivi Mbezi Beach.

    Ingawa mashairi ya dogo huyu ni kama dua la kuku kwa mwewe, ni muhimu pia kwa mwewe kuajiangalia. Bahati zipo zote nzuri na mbaya. Ukiws na bahati nzuri ujishahua na kudhani kuwa mbaya hazitakufikia. Sote hatujui bahati hutokea wapi.

    ReplyDelete
  29. mtegemea cha ndugu hufa masikini........ivi kweli ukipata mafanikio unaweza kuwasaidia watu wote waliochini yako hasa wale ambao may b ulixoma nao nk.......kumamake achene uxenge motto wa kiume alalamiki tafuta na ww au kama unaona unachelewa kwenye mafanikio katoe tako

    ReplyDelete
  30. TATIZO LA WANAMUZIKI WA BONGO WANAINGILIA FANI BILA KWENDA SHULE, HAPA ANGELIKUWA AMESOMA FASIHI KIPENGELE CHA UBUNILIZI.HAIKUWA NA HA JA YA KUMTAJA JINA,WA2 MNGEACHWA NJIA PANDA. Niite ORUJONJOMOGO.

    ReplyDelete
  31. DOGO C UNATAKA UMAARUFU NENDA KAWATONGOZE PENNY au WEMA CHATI YAKO ITAPANDA.WAKIKUTOLEA NJE UWABAKE. niite ORUJONJOMOGO

    ReplyDelete
  32. Hahahah, jamani watu w humu ndani mnanichekesha kweli na hizo comments zenu, kweli mnatakiwa muanzishe comedy, na huyo Soho anachekesha sana, haya bwana tusio kuwa na lakusema tubaki tusome, na kucheka tu, haya mwingine unae fatia toa comment yako.

    ReplyDelete
  33. Kwani yeye asiambiwe ukweli amekuwa malaika??big up dogo ila uwe umefanya hvyo kwa nia ya kumkosoa na sio kutoka kupitia mgongo wake..

    ReplyDelete
  34. dogo kaboa sana

    ReplyDelete
  35. Dogo yupo smat sana , ni bonge la msanii. Kwanini mnamlaumu na kumtukana kwa kumuimba Diamond? mbona Ney wa Mitego huwaimba wanamuziki wengine na viongozi wa dini hamsemi? au mnajipendekeza kwa diamond. Dogo yupo sawa sana yaani ni bonge la msanii. kama unaweza na wewe muimbe kaka yako au ndugu yako yeyete uone kama ngoma itakuwa na mashairi ya kutulia kama hayo.

    ReplyDelete
  36. Nyie mnaoongea pumba eti mnamchana dogo inaonesha ndo mnataka kiki wa&#*#^; nyie.

    Dogo kaimba Dayamond. Huyo bwana wenu anajiita Diamond. Dogo kaimba mziki watu tumeupenda. Nyie mnasema dogo ameamua kidiss kisa kanyimwa hela.

    Eti ukumbi gani ataimba na viingilio kiasi gani.. kwani Juma Nature, 20perent wanaimba mziki gani na viingilio vyao kiasi gani na wana mafanikio ya kiasi gani na nani anawadiss kama sio nyie watoto wa kishua kujifanya mnaiga ulaya kumve ndo mnajifunza ushoga bila kujijua.

    Big Up Dogo.. Si kila mtu anaweza fikisha ujumbe kupitia sanaa na ikafika kwa watu..

    ReplyDelete
  37. Jaman huyo dogo cna nae undugu ctak upumbavu nshasema akiendelea ntampekeka pabaya

    ReplyDelete
  38. acha ujnga ww km unaumia sana na ww kavae suit uende tandale uwe km diamond...inshot we dn knw u we knw u kupita diamond so av ur limits usimseme diamond mwnye akil hapig kelele anapigana kwa vtendo mshinde na ww km kidume...we love diamond so fuck off u dn deserve 2 b his brother humpati diamond hata ubane puaaaaa

    ReplyDelete
  39. yan wat amuishiw na jpya kila sku mnamwandama diamond dah! me nakukubali brotha diamond huwa tunakuita brotha d 4 real bg up meeeeeeeeen

    ReplyDelete

Top Post Ad