NI KWELI WANAWAKE WAMEWAZIDI WANAUME KWA MAMBO HAYA 10?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume.
2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao.
3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli.
4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku.
5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza.
6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote.
7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote.
8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka.
9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi.
10.Tupia Nyingine Unayodhani Nimeisahau...
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pia niwatu wasiopendaa kusaidia wanaumezaa katka mambo yaki baishara changu chake chake chake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama unafanyiwa hivyo na mke au gf wako ujue wew ndo mwenye matatizo

      Delete
  2. WAONGO ZAIDI YA WANAUME
    WAPUNGUFU WA AKILI ZAIDI YA WANAUME
    WANA NGUO NYINGI ZAIDI YA WANAUME ASILIMIA 90%YA NGUO HIZO HAZINA MAANA
    WANAKAA UCHI ZAIDI YA WANAUME
    WANAPENDA KUWA ARTIFICIAL ZAIDI YA WANAUME
    WANA MABALAA MINGI ZAIDI YA WANAUME
    WANAJUTA MARA NYINGI ZAIDI YA WANAUME KWA KUTOTUMIA AKILI KATIKA MAAMUZI YAO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama unasema kuhusu negative ina maana hayo uliyoandika umeyaona kwa mama yako! Maana naye ni mwanamke. Sio wanawake wote wana hizo sifa ulizoandika wew. Wanaume tele tunawajua wana sifa kama hizo. Tumia akili usiandike comment kama mwendawazimu!

      Delete
    2. umemjibu vzr huyo jamaa, wanaume wamekuwa wakidharau wanawake lakini wamesahau subra na uvumilivu wa wanawake ndio umewawezesha wao kujiona bora leo, wakati mnatoa maneno ya kuwaponda wanawake eti wanaakili finyu bila shaka mwanamke wa kwanza ni mama yako mzazi.!!!!

      Delete
    3. hahahaha.....jamaa yangu haya maneno kamwambie mpenzi wako uone kama hutohesabu maumivu.Kuna mawili utapigwa kibuti au utafutiwe wa kukusaidia majukumu.Epuka kutumia maneno yenye negativity kwa wanawake

      Delete
  3. NI WAVUMILIVU
    NI WAAMINIFU KATIKA NDOA ZAO.
    HUPENDA KUSIFIWA HASA NA WAPENZI WAO.

    ReplyDelete
  4. Ni walezi wa wanaume wooote dunian

    ReplyDelete
  5. wanapenda kutoka moyoni sio kutoka akilini

    ReplyDelete
  6. Hupenda kusifiwa hata kama wanajua hizo sifa haziendani nao
    Wakimaliza penzi hawarudi nyuma tena
    Huwafanyia hiyana wanaume kwa makusudi haswa wakijua wanapendwa

    ReplyDelete
  7. Nyie wote mnaowapamba wanawake kwa sifa nzuri hajaona wala kuskia mabalaa ya hawa viumbe wanaoshirikiana na shetan kuharibu dunia, wanatoa mimba,wanatupa matoto chooni wanvaa nusu uchi,wanauza miili yao,na inawezekana hao watoto mnaolea baba zao hamwajui

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata wanaume mashoga wanajiuza na kuna marioo pia wao hujiuza pia kuna wanaotelekeza familia na watoto wao kuna wanaokataa watoto,kuna wabakaji,majambazi walawiti nk wanaume washenzi sana jaman

      Delete
  8. Nyie mnao wasifia wanawake wa dunia ya leo waliojaa utapeli wa mapenzi mtakuwa mnalelewa na wanawake mjini,jifunzeni kutafuta vyenu

    ReplyDelete
  9. uzushi mtupu walabda una kasoro

    ReplyDelete
  10. Nawaeshimu Wanawake wote bila kujali Kasori zao sababu ata Wanaume wanakasoro pia na Ukweli kwa nyie Wapumbavu mnaongea Negative kuhusu wanawake then i must say u guys have to learn more and more..

    ReplyDelete
  11. Binafsi cjakutana mwanamke mwema ktk hi dunia zaid ya mamaangu mzazi

    ReplyDelete
  12. Nani asiejua kuwa wanawake wa ck hiz wako after many?no many, no love,,mnawezaje ktwambia wanamapenzi ya kweli?hayo yalikua zaman bwana sio dunia ya leo ilojaa harufu ya jehanamu,2cdanganyane hapa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Money au many?ndugu yangu kama English haipandi andika Kiswahili tu utaeleweka

      Delete
  13. Wakati mwanamke huongea wastani wa maneno 7000 kwa siku, mwanaume huongea maneno 2000 tu!

    ReplyDelete
  14. ...AHAHAHA KWELI UKITAKA KUJUA UJINGA WA NYAU AU KUKU WE MUWEKE KARIBU NA KIOO AJIONE,,UONE UJINGA WAKE WA KUPIGANA NA SURA YAKE MWENYEWE KWENYE KIOO...! SASA NDO NINYI HAPOO,, MAANA MLETA MADA KASEMA HAJAAMINI ALICHOLETA LAKINI PIA KAWAAMBIA,, HEBU TUPIA NA WEWE UNAZOFAHAMU KAMA NIMEZISAHAU......! BADALA YA KUFANYA ALICHOWAOMBA NINYI MMEANZA KUGOMBANA NA KUINGIZA MAMA ZENU NK, MLITAKIWA KUTUPIA TU ALIZOSAHAU MLETA MADA SI KUJADILI,,, ILI MWISHO NDO AOMBE KUJADILI HOJA ...! HII ILIKUWA NI RASIMU TUU....! POLENI KWA KUTUKANANA OVYO..!

    ReplyDelete
  15. Tamaa nyingi kuliko wanaume
    Wana akili za kuvukia barabara kasoro ukoo wetu tu ndyo wanajielewa
    wengi hupenda kuvuta sana sigara hasa wakati wa usiku.
    Chpsi kuku tu wanakuvulia nguo.

    ReplyDelete
  16. Wanawake wako wa kila aina. Na hata eanaume pia

    ReplyDelete

Top Post Ad