RAY C AMZIMIKIA "ABDUL HAJI" SHUJAA WA WESTGATE ALIYE OKOA WATU WENGI KUTOKA MIKONONI MWA MAGAIDI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Abdul Haji ni miongoni mwa mashujaa ambao hawatasahaulika nchini Kenya kutokana na kuamua kuhatarisha maisha yao ili kuokoa watu waliokuwa wamekwama ndani ya jengo la Westagate baada ya kushambuliwa na Al-Shabaab Jumamosi iliyopita.


Tangu asimulie namna alivyopambana na magaidi hao, Haji ametokea kuwa kipenzi cha watu wengi hasa wasichana na mmoja wa watu aliowagusa ni Rehema Chalamila ambaye amesema anatamani mwanaume mjasiri kama yeye ambaye watazaa naye watoto.

“In love with ths Soldier!i want a soldier like him to marry me,” ameandika Ray C kwenye picha ya gazeti aliyoipost kwenye Instagram ikimuonesha Abdul Haji.

“I love You Abdul Haji,You are my Heroooooooo,” aliandika Ray C kwenye picha nyingine.

Kwenye picha nyingine Ray C aliongeza, “My soldier,My Prince,My Love….Love You Abdul Haji.”

Kijana huyo ni mtoto wa waziri wa zamani wa ulinzi nchini Kenya ambaye alienda kwenye mall hiyo baada ya kupata ujumbe kutoka kwa rafiki yake kuwa kaka yake alikuwa ndani ya Westgate wakati watu hao wenye silaha walipovamia.

Akiongea na NTV, Haji ambaye sio mwanajeshi, alisema alifundishwa kutumia bunduki na baba yake ili kulinda mifugo yao isiibiwe na wezi.


Ujuzi huo ulimsaidia Jumamosi hiyo kuwasaidia wafanyakazi wa Red Cross wafanye kazi yao kwa usalama kwa saa tatu na kusaidia kuokolewa kwa watu wafikao 1,000 nje ya mall hiyo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hanalolote uyo teja kaacha madawa kaludia umalaya,pumbavu kabisa

    ReplyDelete
  2. Hata mim nimempena huyo haji jaman n shujaa sijaonaga mim sio midume ingine ingekimbilija kujiokoa yenyewe tu na wewe apo juu funga domo lako unga umeingiaje hapo mxiuuuuuouu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ray C gold digger tu kama ma digger wengine, kisa mtoto wa waziri.kwani ni wangapi wamefanya makubwa hata kuliko ya huyu ?mbona hakutamka lolote

      Delete
    2. mmh nawapa pole sana

      Delete
  3. hana lolote anajinogesha tu,,,ndo upendwe na hyo abdul au???

    ReplyDelete
  4. hana lolote anajinogesha tu,,,ndo upendwe na hyo abdul au???

    ReplyDelete
  5. hili kahaba likahaba linakuja kwakasi ya hatari....watalifira mwaka huu

    ReplyDelete
  6. Eeeeeehh kama na nyie mnataka mpendwe c muandikeeee eeeehh jaman?? Kwa raha zake ray c, muachen alaleeee

    ReplyDelete
  7. Nenda zako huko mimacho huna lolote

    ReplyDelete
  8. Ray C anajua kwenda na time chezea kino bila mfupa wewe

    ReplyDelete
  9. Hana lolote tunawajua madem wa kibongo kwa kupenda watu maarufu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Barelawyer Brokers of Properties......Dual agency Expert in helping you to find Apartments, Homes for rent at a reasonable price especially in Dar es where the demand iz too high........we have a timely solution for you......WHY not call Us? call+255 7565 47184

      Delete
  10. anatafuta kick ya kutokea, kachoka,

    ReplyDelete
  11. Nimeshalichoka ili pimbi maraya with is dramaz ananiboa kama diva wa clous fm ray c rayc wo is she bathway anatafuta kiki kwa nguvu kwa kumchokoza zamarad mtekema... shes nuts simpendiii...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jaman nampenda huyu kaka nataman anioe

      Delete
  12. Hana jipya huyo kesha jiishia,kaz kujipendekeza tu,usione kichaka?




    ReplyDelete
    Replies
    1. Wivu mbaya mdada ugua pole or rest in.peace

      Delete
  13. KUMA LIMECHEZEWA HADI LIMETELA LIKKOSA SOKO.SASA ANALITEMBEZ HUKU N HUKO KM SAMBUSA.ET LIMEOKOKA MALAYA MKUBWA WE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha matusi zamaradi ndo mana sura lako kama msukule alokosa pumba gamboshi bayaaaaaas

      Delete
  14. Hauwezi kuzaa tena kuma umeligawa kama pipi nani atalitaka we Malaya mkubwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weww mbona k yako imejaa miukimwi lakin umezaa umuache mtoto mzuri sio wewe yahaya akiwa anakumega mpaka amuimagine ray to the c ndo akojoe kundu wewe

      Delete
  15. Mhh Ray C bado wataka rudi Kenya weye! Haya

    ReplyDelete
  16. madawa Bado yako kichwani yanamsumbua huwa hayaishi moja kwa moja wala ABDUL HATAKI KUOA TEJA japo anaruhusiwa kuoa hata 4

    ReplyDelete

Top Post Ad