MWANAMKE KICHECHE AMEZA SIMU BOYFRIEND WAKE ASISOME MESEJI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chanzo cha Spanish website Yipeta.com kinasema, mwanamke wa miaka 19 kutoka Brazil anayeitwa Adriana Andrade alikuwa so desperate kumficha boyfriend wake asisome meseji iliyokuwa kwenye simu yake kiasi kwamba alipomwambia anaomba asome alikimbia.
  Na alipofika mbali alifanya 'the unthinkable' akaimeza simu yake. Anatakiwa afanyiwe oparesheni ili simu hiyo itolewe


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hata siamini hii habaru mtu anawezaje kumeza simu na itapitaje kooni ni ni kubwa kukumeza this its not true

    ReplyDelete
  2. haha katisha sana jaman sasa asubiri kisu tu

    ReplyDelete
  3. Impossible. Huu ni uongo, simu inapitaje kooni...?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wangetueleza imepitaje koon! I dont think if this is tru!

      Delete
  4. Labda ni kweli. Si unaona hiyo picha ya utrasound....

    ReplyDelete
  5. Utrasound hehehe, it's for scanning reproductive health, this one is X-ray

    ReplyDelete
    Replies
    1. Who told you ultrasound is for reproductive health only..

      Delete
  6. Yah ma people t can happen.

    ReplyDelete

Top Post Ad