JESSICA KIKUMBI "ALIYE KUWA MUME WANGU NDIO ANASAMBAZA PICHA ZANGU ONLINE"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Leo picha za nusu utupu za Binti huyu zimezagaa mitandaoni ikisemekana ameweka yeye hizo picha facebook lakini yeye amejitokeza na kusema hiyo facebook account haijui na si yake ..haya ndio aliyoyasema jisomee mwenyewe hapa:

"My friends hizo picha zinazosambazwa na watu sijazituma mimi japo yes nilizipiga,ila kuna mtu ambae anatumia hela na uwezo wake kunichafua kwenye magazeti na kwenye mablog,sidhani kumuacha mwanaume ni sababu ya kunichafua na kuandika habari za uongo magazetini,nashukuru kwa mnaoni support, hasa familia yangu na wazazi wangu wamekua bega kwa bega na mimi,sheria itachukua mkondo wake naamini serikali chini ya waziri Dk Emmanuel Nchimbi iko pamoja na mimi na nashukuru kwa support yao
Huyo mwanaaume niliachana nae, baada ya kuona ana mahusiano yasiyo ya kawaida na mamaake, nikaona niondoke baada ya kuninyanyasa sana kijinsia mpaka kesi ipo polisi kawe, sasa amepokonya simu ambayo inapicha zangu personal anazisambaza, amewahi magazeti ili ajisafishe,ila ukweli ni kwamba yeye na mama yake ambae ni kigogo mkubwa serikalini ndo wanahusika" Written By Jessica Kikumbi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo jamaa ana mahusiano yasio ya kawaida na mamaake ina maana ampiga mzigo "maza" sio? loh, makubwa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Jessica wewe mama Maajar atakuchinja na hawa senare .Hawa senare na balozi majaar ni lawyers .Huyo Mume wake anaitwa Emmanuel Akaro senare hawezi lala na mama ake ila mama senare anawapenda sana wanawe kupita kiasi .Emmanuel Kwao wako wawili tu .Soshe senare ( miss Tanzania na Emmanuel )

      Delete
  2. Tatizo matt ya kike huwa hayawaz kuwa kunaleo na kesho, haya umekubali vipi kupigwa picha pekeyako na kwnn ucnge mpiga picha na ww hicho kimumeo??kweli mwalm wenu ni kipofu aiseee...pumbvuuuuu.........!!!

    ReplyDelete
  3. Hata km nimepgwa nyinyi vyamiuma nn...

    ReplyDelete
  4. Shenzi ww km vp kampe kapya

    ReplyDelete
  5. we kuma kweli, kwanini ulizipiga hz picha kama zilikuwa nzuri kwanini unalalamika?

    ReplyDelete
    Replies
    1. TUMIA LUGHA YA KISTAARABU, WEWE HUKUZALIWA NA MWANAMKE MWENYE JINSIA UNAYOTUMIA KUTUKANIA WATU!
      HUNA ADABU YAANI HUNA TOFAUTI NA HUYO UNAEMTUKANA. SASA HAPO UMEMTUSI MAMA YAKO KOSA LAKE KUKUZAA SIYO? PUMBAVU ZAKO.

      Delete
  6. Pole Sana Jesca, wengi watajitokeza na kusema mengi ila ikweli unaujua wewe
    naamini kila binadamu ana mapungufu yake na hata wale wanaojitokeza humu kukutukana!

    ReplyDelete
  7. Mnapigaga picha za utupu za nn? ulipopiga hizo picha za uchi serikali wala haikuwepo leo umewekwa kwenye mitandao serikali ichukur hatua, hivi serikali haina kazi za kufanya ifanye huo utumbo wa picha za utupu, usingepiga hizo picha angezipata wapi, si ndio mmeona ni style hiyo siku hizi utajiju na huyo bwana wako au mumeo lol

    ReplyDelete
  8. Wanaume wa tz mmekuaje mkiachwa tu joto hasira pole jesca angalia asije aka ku ufoo or munis,

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha usenge wanaume mkundu wako kwann msijiheshimu nao wazazi wanasaport upumbafu shwain

      Delete
  9. JESSICA Uliolewa na AKARO harusi ya dollar 70,000.Akaro senare ni kaka wa shose senare .AKARO alifikia kuokoka Jinsi ALIVYO mdhaifu wa Wanawake .Halafu AKARO ni very Rich spoiled boy ,Ulibabaikia Pesa za mama Yao ni uridhi wa Soshe na mumeo wa zamani .Ok wakina AKARO baba ao mzee senare kilema alirushwa gorofani USA .Akalipwa million 10 dollar na wale waliosababisha ajali .Hali yake ilikuwa mbaya sana akaweka Pesa zote Kwenye trust fund ya wanawe .Ukababaika na Pesa nawakati AKARO ananyumba ya kupanga ya Malaya .Na ulizidi jishaua eti oh Emmanuel Akaro senare aunt yake balozi MAJAAR .Uneachwa mwanaume wako sex addict .KASOMA ndio Harvard Lakini Mtamalizwa mwaka Huu.Pole umeyataka

    ReplyDelete
  10. Huyu mwanaume nae mjinga kweli,sasa sa hivi huyo jesca alivyo gumzo watu wanaekeana dau kumpata..maana zile picha hatari.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh,kweli huyo demu ni mzurije,mie nahonga hata nyumba

      Delete
  11. acheni kunyooshea kidole mtoto wa mwenzenu
    ya kwenu yanawashinda

    ReplyDelete
  12. hata mswaki hamjampiga kutoa maneno ya shombo tu

    ReplyDelete

Top Post Ad