RAIS WA MALAWI JOYCE BANDA ASHITAKIWE UMOJA WA NCHI ZA AFRICA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughulikia mambo ya utawala bora na maendeleo nchini (The Center for Good Governance and Development in Tanzania -CEGODETA), imeitaka Serikali ya Tanzania kumshtaki Rais wa Malawi, Joyce Banda Umoja wa Nchi za Afrika (AU).

Taarifa ya taasisi hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo, Thomas Ngawaiya ilisema uamuzi huo ni kutokana na kauli za dharau za Banda dhidi ya viongozi wanaoshughulikia mgogoro wa Ziwa Nyasa.

“Serikali imshtaki kiongozi huyo wa Malawi AU ili aulizwe ana dhamira gani kwa Tanzania na Afrika kabla hajaleta madhara makubwa kwa nchi yetu na Bara zima la Afrika.

Waswahili husema ‘Mchelea mwana kulia hulia yeye’ na ‘Mdharau mwiba mguu huota tende’, maana yake ni kuwa inawezekana huyu mtu ana mtandao mbaya sana tusioujua, tufanye uchunguzi kuubaini,” inasema taarifa hiyo.

Inasema kuwa, mara tu baada ya kuingia madarakani Rais Banda alidai kuwa Ziwa Nyasa ni mali ya Malawi kwa asilimia 100 na Tanzania haina haki ya kulitumia ziwa hilo kwa njia yoyote ile.

Taarifa hiyo inasema kuwa, mgogoro huo kwa sasa uko kwenye jopo la usuluhishi la marais wastaafu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) chini ya Rais Mstaafu, Joachim Chissano wa Msumbiji.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. raisi wa kike wana mambo kwali !nyege nyingi tu!

    ReplyDelete
  2. Hata marehemu Idd Amin Dada alianza choko choko hivyo hvyo kwa kutiwa kiburi na mataifa fulani.

    ReplyDelete
  3. kapata bwana ulaya anampa jeuri

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaha inawezekana marekan wanampa jeuri kweli

      Delete
  4. Kuma yake imefanana na nyani mleteni nimfire aweze ongea mambo mwazuri

    ReplyDelete
  5. Jamani kwani hakuna mtu wa kutia uyo dada aache chokochoko zake

    ReplyDelete

Top Post Ad