JESCA KIKUMBIA AIKANA ACCOUNT YA FACEBOOK INAYOWEKA PICHA ZAKE MBAYA AOMBA MSAADA WA KUIREPORT IFUNGWE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"This thing is getting worse,my friends huyo mtu anayetumia jina langu kwa fb bado unapost picha zangu anajiita same name as me and same profile picture,hiyo acc ukiangalia unajua sio yangu,maana kwa watu wanaonifahamu wanajua mimi sijawahi kusoma UDSM na hata post za zamani za hiyo acc sio zangu nna haters lakini pia naamini nina marafiki zangu wananipenda basi please naomba mnisaidie kureport hiyo acc ifungwe.
Click Hapa Chini ili Uireport to facebook:
https://www.facebook.com/Kikumbi.Jessica?hc_location=timeline" Jessica
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi huyo mumeo jessica ulimpa nini?mbona bado anakufata fata hivyo? Usijali tunaireport.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Itakua alimpa tako,mamae hata mi nakunyonga

      Delete
    2. Mumewe anaitwa Emmanuel Akaro kaka wa shose senate mtoto wa lawyer hawa senare.hawa senare mdogo wa balozi majaar.

      Delete
    3. Shose senare

      Delete
  2. Hivi nasikia na wewe unatoka na mume wa shamimu mwasha Mr sembe tena kakupangia na wewe kama kajala ndo sababu mmeachana na mumeo na amesema hakubali lazima akuonyeshe?khaa jamani hela zitawauwa wadada wa mjini..ndo ukome sasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona Mumewe ni tajiri.Emmanuel Akaro senare

      Delete
    2. Mumewe hela si za kwao,sema mr sembe za kwake mwenyewe na sembe alikua anamuhonga sana,jesca anahela mpaka anatunzaga kwenye mabendi,anamiliki viwanja hapa mjini,anaakili sana huyu mtoto,halafu mdogo,mumewe aligundua pia mkewe anamjengo bila yeye kujua.

      Delete
    3. Mumewe sasa hivi kama kachanganyikiwa ukimuona barabarani,huyu mdada kampa kichaa mumewe baada ya kumwaga,yaani nasikia kawa kama chizi

      Delete
  3. Nampenda huyu mdada

    ReplyDelete

Top Post Ad