EXCLUSIVE AUDIO KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ FT CHEGE, ISIKILIZE HAPA KWA MARA YA KWANZA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Zitumie hizi dakika kadhaa kumsikiliza alichokifanya Diamond kwenye hii beat ya Chegge Chigunda ya Uswazi Take away,uongozi wake umetubariki kuwapa watanzania hii kama Exclusive kwenu kuisikiliza hii nyimbo afu tupe maoni yako hapo chini kwa kucoment.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naseeb nakuita hivyo sababu, Wema anakuita hivyo, na Naseeb ndio anaependwa nna Wema si Diamond. Nionapo drama za mapenzi yenu nakumbuka maisha yangu, miaka mitano iliyopita, sikuwa maarufu ila maisha yangu ya mapenzi yalifanana na maisha yenu na wema. ila mwisho kabisa Mungu akasaidia sasa tunaitwa baba na mama Nahya. Tunapendana sana na kati ya tuliyopitia sidhani kama lipo linaweza kututenganisha tena. now we know each other in and out. kila kitu maishani mwetu tunaona ni marudio tu. kuna wakati huwa tunaangaliana na kumuangalia mtoto wetu tunaishia kucheka sana. Nawaombea kila la kheri na Mungu awafikishe mwisho mwema then ibaki ni historia kwa watu na kwenu pia. NAWAOMBEA SANA.

    ReplyDelete
  2. Chai tu hapo hakuna kitu

    ReplyDelete
  3. Diamond karne tunayoishi siyo ya kuchaguliwa mwenzi wa kuishi naye.wazazi na ndugu wanatakiwa waheshimu uchaguzi wako kwani hayo ni maisha yako na si vinginevyo. Afrika bado kwa Hilo tuko nyuma 100 years.

    ReplyDelete
  4. Watakupinga sana lakini mwenye kuoa ni wewe Uwe na msimamo wako tu mwisho itabaki kama hadithi. Mapenzi hayachaguliwi kwani siyo nguo wala kiatu. Oa unayempenda wewe BASI

    ReplyDelete
  5. Kweli kawaateka hata akiharibu watu mnamsifia mh si bure

    ReplyDelete
  6. Nice Diamond ww ni mkali ktk music, jpo kuwa mambo yko unayajua mwnyw ila ktk music upo juu baba.

    ReplyDelete

Top Post Ad