FANS ATTACK LUPITA NYONG'O ON INSTAGRAM, CALLS HER A "MONKEY"


Jamaa awa Wazungu ...Hawana hata aibu kumwita Binadamu Mwenzao hivyo ki ukweli hii imeniuma sana embu jionee


Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haijakuuma acha umbea

    ReplyDelete
  2. comments za wazungu,if only africans knew how racist white are,mgewacha kuwaabudu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hongera umenena hapo.Naishi nao na nimeshuhudia hayo kwa wingi humu ugenini..

      Delete
  3. Wasenge miaka 9000

    ReplyDelete
  4. kawaida tu,watu wanaitwa mikundu sembuse monkey au sawasaw.aaaah

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kawaida kwako nadhani wewe ndo wale wadada wanawaajudu hao wazungu tuulizeni sisi tunaoishi Ulaya ndo utaina mambo mtoto kazaliwa na mama mweysi na baba ni mzungu lakini bado wanamwambia kama ni mweusi. Na kibaya zaidi ni kama sisi weusi Dunia nzima inakna kama hatufai nawashangaa sana wadada wa kibongo wanavyowashonokea wazungu Poleni sana

      Delete
  5. we nae tulia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. Mbona sie atusemi wao ni manguruwe wa kizungu, Mxxxiiiiiiuuuu....

    ReplyDelete
  7. Hahahah manguruwe!!! umenichekeshaaaaa

    ReplyDelete
  8. Wamamwonea wivu hahahhaa keshatoka hivooooo and atafanikiwa zaidi that is it,they can go hang themselves !!!!

    ReplyDelete
  9. Mzungu asiye mbaguzi ni yule aliyekufa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umenena hapo.Nafanya kazi noa huku kwao.Atakuchekesha lakini kwandani bado anakubagua.Wanajua sana kuvaa sura mbili

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad