MAMA AMTEMBEZA MUMEWE KAMA MBWA BAADA YA KUMFUMANIA NA MWANAMKE MWINGINE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mapenzi muda mwingine yanakuwa na vituko vyake na vinapotokea huwashangaza na kuwaacha watu midomo wazi. Mama huyu alimfumania mmewe na mwanamke mwingine na mumewe alianza kuomba msamaha na ndipo mama huyu aliamua kumsamehe ila kwa kumpa adhabu mumewe na adhabu yenyewe ndiyo kama hiyo unayoiona ya kumtembeza mumewe kama mbwa kwa muda wa siku 3

Kama wewe unaweza kukubali kufanyiwa hivyo na wewe mwanamke unaweza kumfanyia hivyo mpenzi wako/mumeo?? toa maoni yako hapo chini
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. This is bad.i cant do it

    ReplyDelete
  2. wanaume wenyewe labda wa nchi za huko kwa wenzetu wanathamini ndoa, but huku tz why, huwezi mfanyia hivyo haipuingu wewe ndo utasafa

    ReplyDelete
  3. Safiiii!!nini?

    ReplyDelete
  4. Wamezid sanaaaaa hawo safiii.

    ReplyDelete
  5. Sitembei wala siombi msamaha

    ReplyDelete
  6. Kwa kwel mwanaume wa kibongo hawez kubali bora akuache ww...sema huko mpaka mtu akuoe bas knw they truelly r in lov wid u...huku mtu anaoa apate mtu wa kumfanya ,kumfulia,kupika na kutake care kama massage na vtu ka hzo

    ReplyDelete
  7. Hamna cha safi wala nin wanaume na wanawake wote wanafanana tu kwa michepuko!

    ReplyDelete

Top Post Ad