MPOTO AELEZA SABABU ZA YEYE KUTEMBEA BILA VIATU HATA AKIENDA ULAYA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto amedai kuwa ajisikii vizuri pindi anapo vaa viatu kutokana kudai kuvaa viatu kuna athiri utendaji wa kazi zake.

Mpoto ameiambia bongo5 kuwa amesemwa sana kuhusu tabia ya kuto vaa viatu lakini ameshindwa kubadilika.

“Beauty yoyote ipo kwenye jicho,unapozungumzi Mrisho Mpoto kuwa peku ,sehemu nyingi sana,mara nyingi sana watu wananiona peku, ni kwa sababu ya kutafuta energy ,unajua energy ya mimi kuendelea kuishi inapatikana kwenye udongo,yani ngozi yangu inapokutana na ardhi nakuwa so (confident) na nakuwa Mpoto, zaidi na nguvu na nakuwa na akili ,sasa sipendi wakati mwingine kuwa fake,najitaidi sana kuwa wakisasa ila nakuwa nasahau,kwamfano naweza nikanunu kiatu cha gharama alafu nikakisahau kwenye ndege au kwenye basi kwasababu siyo kawaida yangu kuvaa viatu, nisha jaribu lakini nimeshapoteza vingi,kwasababu siyo culture yangu kuvaa viatu ,viatu navaaga kwasababu watu wananisema.kwaiyo nikivaa ninakuwa kama inanisumbua, nikaona kama bora niache,alafu nakuwa siko huru,ukinikuta nimevaa viatu alafu tukaanza kufanya mazungumzo nakuwa siko huru kwasababu nakuwa nipo kama naelea hewani,yani kama sina chaji,kwaiyo kwangu mimi ardhi ni kama plug ya mwili wangu,nikikanyaga chini wewe niulize chochote nitakujibu niambie niandike shairi la haina yoyote,mimi ata nikiandika nyumbani kwangu lazima niweke miguu kwenye mchanga,ata nyumbani kwangu hakuna mchanga mimi ninabeseni kabisa la michanga,kwajili tu yakukanyaga yani nikiandika nakuwa confidant ata nikiandika nakuwa na amani”Alisema Mpoto

Pia Mrisho ataendelea kufafanua kwanini ataki kubadilika na kuchana na tamaduni ya kutembea mbila kuvaa viatu

“Nataka maisha yasiniendeshe mimi,mimi niyaendeshe maisha, kwasababu unajua speed ya utandawazi yani globalization ni kubwa sana kuliko speed ya mwanadamu kwa Tanzania,ukiangalia watu kama Marekani wamepata uhuru miaka mia mbili iliyopita,sisi tuna miaka mingapi tu ya uhuru na teknologia inakuja kwa kasi sana,ndiyo maana technologia inapokuta Tanzania watu wanaimasta sana,kwamfano facebook,instargam,twetter,whatsapp na mitandao mingine vimekuja kwa kasi sana na watu vimewabadilisha sana,ata Ngugi wa Thiong’o alisema huwezi kwenda kwa jirani kama ujatokea kwako,mtu kaka mimi ninapoigia kwenye technologia siwezi badilishwa kwasababu nimeshajijua mimi ni
nani”Alimalizia Mpoto
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umenichekesha..lala hadi kwenye mchanga.

    ReplyDelete
  2. Mmmh this is too much! Si kukanyaga mijimavi huko. Hom hata ukiwa peku sawa....had mtaani...mkewe ana kazi...utatembea na mume peku mtaan!

    ReplyDelete
  3. atakuwa ananuka miguu akivaa viatu ndo maana

    ReplyDelete
  4. Bwege anatafuta kick huyo....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bwege babu yako. WaTz mmezidi mfyuuu

      Delete
  5. Sema ndio uchawi wako kutembea peku ili upate tenda nyingi. Kuloga kwenye biashara kupo kwa aina nyingi wengine wameweka watu mazezeta madukani...lol

    ReplyDelete
  6. Akiwa msalani anakuwa na mchanga......aweke pia mchanga kwenye carpet Za gari yake asije akagonga bure huko barabaran maana akili itakuwa haichaji

    ReplyDelete
  7. Na ende huko ulaya time za baridi Kama hajalala na viatu anafanya mchezo na baridi nini

    ReplyDelete
  8. Huyu ana tofauti gani na huyu waziri wa wizara isiyokuwa na kazi na mwenye 'sura ngumu' ambaye kwa maelekezo ya sangoma wake huwa hanawi uso wala kupiga mswaki?

    ReplyDelete
  9. Ale mchanga ili akinya apate akili zaidi.

    ReplyDelete
  10. mpoto hawzi badilika akibadilika kutokana nakazi yake atapoteza dira mana yy anaenzi mambo yakale sasa nyie muoneni mjinga lkn yy anajuwa anachokifanya.

    ReplyDelete
  11. Karibu huku wakati wa winter upekue nikupe zawadi!

    ReplyDelete
  12. Kwan mbona mnaingia na midomo chooni hamuiachi nje!
    Hiyo ni hulka yake yeye ndo life alilochagua; we vaa vizuri tupia kiatu kikali lkn yey kazi yake inamruhusu kufany ivyo'
    Wazee wa kale nao walikuwa peku, lbd kaona nyani wanafaidi anatak kutest aone na yeye'

    ReplyDelete
  13. masharti ya mganga

    ReplyDelete
  14. masharti ya mganga: suspicious!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad