MTANGAZAJI JERRY MURO YUPO WAPI ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hivi mwandishi huyu yupo wapi kwa sasa? au ndio ameshamalizwa na kufifishwa katika shughuli zake za uandishi? Ninapenda kujua toka kwenu wadau, nini kinaendelea.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JANA NILIMUONA TANDALE YUPO

    ReplyDelete
  2. kaka hii nchi achana nayo!

    ReplyDelete
  3. Namkubali sana huyu jamaa ila nchi hii ukifichua wezi tu bac wanatafuta njia za kukuzoofisha pumbavu!!

    ReplyDelete
  4. Yupo sana anatangaza ITV kipindi kuhusu mambo ya TRA.

    ReplyDelete
  5. jina kufa kabisa, japo yupo itv lkn kafyata mdomo, akileta mchezo atajifia chezea watu na hela zao wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad