MWANAMUZIKI D-KNOB AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA..WALISHUHUDIA WATU 10 TU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hit maker wa single mpya ya Nishike mkono D knob leo ame-amplify sababu za kuamua kufunga ndoa ya kimya kimya mwaka 2009 huku idadi ya watu waliohudhuria pamoja na maharusi wenyewe ikiwa sio zaidi ya 10 kuanzia kanisani mpaka walikoelekea baada ya kutoka kanisani.

Nilitaka kuifanya na mwenzangu nikamwambia tumekua wapenzi lakini sasa yahitaji tuwe ndani ya ndoa akasema twenzetu tukaongozana mpaka kanisani padri akasema hamuwezi kuoana nyie mnajua hata ndoa ni nini?kuna hatua’

Siyo kitu ambacho  tulitaka kufanya kama watu wengi wanavyofanya ile kukaa kuchangishana kwa sababu mimi rafiki zangu wa karibu wote walikua block nisingetaka kufunga ndoa halafu mwisho wa siku tuanze kununiana kuwa huyu hajachanga yule kachanga chapili nilitaka kufanya ili niendelee na maisha yangu kama mtu unapoamua kufanya birthday’
‘Wazazi walipata taarifa mwishoni kwa sababu hata mzee katika risala yake maana tulikaa kwenye meza moja baada ya ndoa mzee akasema mimi sijui nakupa zawadi gani maana umeniambia jana tu,kitu tulichofanikiwa ni gauni la mke wangu maana ni gauni la gharama nashukuru Mungu lilitupa stress mwanzo lakini liliwahi’.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bora yako na Bongo yetu hii ndo ungekua habari ya mjini watu wangeingiza pesa bila kulitolea jasho

    ReplyDelete
  2. hongera na watu wengine waige mfano kutoka kwako, kwa kuwa usipochanga watu wanacomplain kama huna unafanyaje, bora tujiandalie wenyewe kama birthday, mwenye zawadi haya asiye na zawadi to hel, hongera bwan

    ReplyDelete

Top Post Ad