RAY: SINA MPANGO WA KUMUOA CHUCHU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Shakoor Jongo na Musa Mateja
Makubwa! Kaka mkubwa kunako gemu la filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray The Greatest’ amefunguka kuwa hana mpango wa kumuoa mwanadada Chuchu Hans kama inavyodaiwa na baadhi ya watu.

Akijibu swali aliloulizwa na wanahabari wetu hivi karibuni, kuhusiana na kudaiwa kuwa baada ya mpenzi wake huyo kupewa talaka ana mpango wa kufunga naye ndoa kama ilivyokuwa inadaiwa ambapo alikataa katakata suala la yeye kufunga ndoa na Chuchu.

“Sina mpango wa kuoa ndugu yangu, hayo ni maneno ya watu ambayo yapo tu mitaani ila kwa sasa niko njiani naenda gym baadaye nitakutafuta tuongee.” alisema Ray.

Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa muigizaji huyo kufunguka kuhusiana na suala la ndoa na swali linakuja, je, Chuchu anafahamu kuwa anachezewa tu? Jibu analo mwenyewe moyoni mwake. 
GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. drama nyingi hao bado wanakula ujana

    ReplyDelete
  2. toka lini staa akaoa

    ReplyDelete
  3. ray ni mchumba tu

    ReplyDelete
  4. Binadamu mwenye akili timamu hawazi kuoa au kuolewa na msaliti, chuchu kasaliti ndoa hata ray atasalitiwa tu, pia nao wote vipepe hata kama wataoana michepuko haitokosekana

    ReplyDelete
  5. hata ningekuwa mimi nsingemuoa, mwenzako akinyolewa zako tia maji.............................

    ReplyDelete
  6. kashakula kiboga....basi tena!!!!!!!!!!!!!!!!ray kibamia

    ReplyDelete
  7. Muoaji atakuwa ray,hapo ni povu tu.

    ReplyDelete

Top Post Ad