Master J Ashauriwa na Mama yake Kumtambulisha Rasmi Shaa Kama Mpenzi Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni miaka mingi sasa imepita toka ifahamike kuwa CEO wa MJ Records Joachim Kimaryo aka Master J na mwimbaji Sarah Kaisi aka Shaa ni wapenzi, kiasi mpaka sasa hata wanapoulizwa kwenye interviews na mitandao ya kijamii hukiri kuwa wao ni couple.

Lakini mama mzazi wa Master J ameona kuna haja ya mwanae kuuweka wazi rasmi uhusiano wao ili jamii iwe na taarifa sahihi, hivyo amemshauri mwanaye kuwaita waandishi wa habari kuzungumzia uhusiano wao na mipango yao ya ‘ndoa’.

“Hili ni jambo ambalo kusema kweli limekuwa kubwa sana sasa hivi,” Alisema MJ kupitia E-News ya EATV. “Nilikuwa nimekaa na mama yangu mzazi amenishauri ameniambia sikiliza uite watu wa media wewe na huyo Sarah muwe open kwa sababu kiukweli mnavyoendelea kukaa kimya kila mtu anakuwa ana assume mambo yake ambayo mwisho wa siku yanaweza kuleta madhara flani”.

Mj ambaye ni baba wa watoto watatu ameahidi kuwaita waandishi wa habari mwaka huu ili kumtambulisha rasmi Shaa kama mpenzi wake na mipango yao ya baadaye.
Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shame on u shaa

    ReplyDelete
  2. Laana na kilio cha mke WA mj itawatafuna ww na huyo bwana wako

    ReplyDelete
  3. Hakuna laana hapo nani alimtuma akatembee na msanii wa bongo fleva alikosa nini kwa kk wa kichaga au ni hizo tamaa?

    ReplyDelete
  4. una hakika alitembea na mbongo fleva au ndo mnasingizia ili kuhalalisha uhusiano wa mj?

    ReplyDelete
  5. we shaa si utafute mwanaume wako!!!,bona mzuri sana...alafu na wewe mama unamabo yakikuma sana badala umkanye mwanayo kutoka nje ya ndoa ndo kwanza unashabikia....shetwani kubwa we

    ReplyDelete
  6. Hayabwana hawa ndio wanaume wa bongo Sarah nawe jiangalie yambele huyajui.wanaume oneeni huruma wakezenu jamani.mnawaumiza mpaka wanajuta kuolewa nanyi.ndiomaana sasa hv wanawake wanagoma kuolewa au wakiolewa akikaa mwaka akiona unamzingua anatoka mana ukijidai unavumiliasana utatoka namtindio wa ubongo shame on u wanaume wote mnaoumiza wakezenu mlaaniweeeeee

    ReplyDelete
  7. Wote nyie wasenge mnaongea ufala acheni watu wafanye Yao mbona wengine mnatembea Na wazazi wenu master tomba yoyote anayekuja mbele yako ndio maana ukaitwa master

    ReplyDelete
  8. Bina kuwa makini sana kama master aliweza kutoka kwa mkewe akaja kwako bax nawe kaa tayali jiandae mana mwenye lake haachi

    ReplyDelete
  9. Acheni kujidai mnamtetea huyo mke was mater j mnajua alichokifanya au mnaropoka tuu,laana laana matakoni mwenu,nyie ndo waumbaji,shwaiiiiin nyie.

    ReplyDelete
  10. We tembelea nyota ya mwenzio tu...utailazimisha furaha maisha yako yote mwenzio kaondoka na watoto wa 3 alishazalishwa ndoa chini ya mama mkwe utajuta watoto lundo..mdomo huo utafika masikioni upana

    ReplyDelete

Top Post Ad