Nape "CCM haipo Tayari Kuwabembeleza Walio Susa Bunge Warudi, Waendelee Kukaa Barabarani"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake Rais DK JAKAYA KIKWETE ilikutana Dodoma May 5 2014 ili kujadili na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo mchakato wa Bunge la Katiba ambalo limesitishwa mpaka mwezi wa nane.
Akitoa mapendekezo ya Kamati Kuu, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema licha ya kutoa mapendekezo yatakayofanikisha upatikanaji wa katiba mpya, chama hicho kimepinga vitendo vya baadhi ya wabunge kupinga waziwazi kwenye majukwaa juu ya kuendelea kwa bunge Maalum.
Namkariri akisema ‘kamati kuu pia inasikitishwa na juhudi za makusudi za baadhi ya watu au vikundi vya watu kuamua kuendeleza upotoshaji kuhusu mchakato mzima wa mabadiliko ya katiba, wameamua kupotosha kwa kwenda barabarani, kufanya mikutano au kuzungumza na Waandishi wa habari kupotosha baadhi ya mambo’
Kwenye sentensi nyingine Nape amesema chama chake hakipo tayari kuwabembeleza wajumbe waliosusia kuhudhuria vikao kwa kusisitiza ‘hatuna mpango wa kuzungumza nao na tunampango wa kushughulika nao mtaani wanakokwenda, sio sisi na wala hatuna mpango wa kuishawishi Serikali wala viongozi wa kitaifa kuwabembeleza kuwarudisha bungeni, mimi nadhani waendelee kukaa barabarani’
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe nape mwenyewe umebebwa tu kisa mzaz wako alikuwa kwenye system,hv nyie lin mtaacha kulisishana? We hata wakikaa barabaran hawaji kula kwako,nakwann mnabadilisha baadhi ya vipengere kwenye hiyo katiba mpya?hamuwatendei haki wananchi,kuweni wakweli bwana na hiyo ccm yenu kwanza tumeshawachoka jaman mjue.

    ReplyDelete
  2. sikiliza ww nape na ccm yako, HII NCHI SIO YENU PEKE YENU MAANA NAONA VIBURI VINAWAZIDI,TENA MNA TABIA MBAYA HII NCHI HAMJAFUNGA NDOA YA MAISHA NAYO , NYIE NI KAMA AWALA TU NA MWINGINE PIA HAKIJA ATAKUA HAWALA, NIKIWA NA MAANA CHAMA KILICHOSHIKA DOLA KINA MKATABA WA KUIONGOZA INCHI KWA KIPINDI MAALUMU SASA NASIKITIKA MNAJIONA NYIE WOTE MMEFIKA. KWATAALIFA YENU TUMEWACHOKA NA SIASA ZENU ZA KIPUUZI, INCHI GANI MIAKA ZAIDI 50 HAKUNA KINACHOELEWEKA YANI MTU ANAZALIWA MASIKINI BADO ANAKUFA MASIKINI,ONA MISITU YOTE HII WANAFUNZI WANAKAA CHINI,UMEME WA KUSUASUA MAJI NDO USISEME, CCM MMETUFILISI MNATUMIA PESA/JASHO ZA NCHI/KODI KUJENGA CHAMA ONA MMELIFILISI SHIRIKA LA TANESCO MPAKA LEO WANA DENI KUBWA ALAFU ILO DENI LIMERUDI KWETU WANANCHI ONA TUNALIPA BILL KUBWA YA UMEME, IZO PESA ZILIENDA WAPI KAMA SIO MIFUKONI MWA WANACCM WANAOJIITA WAHESHIMIWA NA RAISI ANALIJUA FIKA KAKAA KIMYA NA NDO KWANZA ANAONGEZA SAFARI, WE NAPE SHABIKI MAANDAZI NUNA LOLOTE HAPO UMEWEKWA TU NA BAHATI UMEPATA KIPAJI CHA KUONGEA, UNDUGU CCM UMEZIDI TENA UYO MTOTO WA RAISI SIMKUBALI HATA KIDOGO JUZI KAMTUKANA MZEE WETU WALIOBA MI NILISHANGAA IYO JERI KAIPATA WAPI YA KUMTUSI WARIOBA.NA SALAMU HIZI ZIMFIKIE IPO SIKU TU. WE NAPE KUMBUKA SIKU MOJA UPEPO UTABADILI MWELEKEO ALAFU NDO UTAJUA KAMA KWELI WATU WANA HASIRA NA NYIE.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama hutaki kuongozwa na cccm hama nchi

      Delete
    2. Wewe na we ndio wale wale subiri uchaguzi unakuja utapatiwa tshirt yako na pilau na sukari kilo 1 halafu utaenda kupanga foleni kwenye jua kali kuwachagua mafisadi waendelee kula nchi!watanzania ni kama tumelogwa kum mamae dah?

      Delete
  3. Nape ni sawa na boksi tupu la azam kelele bila akili.Kasome historia ya kesya jinsi Rainbow Coalition ilivyoinyuka KANU.Mazingira ya kenya wakati ule na Tanzania ya lei yanafanana %.Nape jiandae kwenda the Hague mahakama ya ICC kujibu mashtaka.

    ReplyDelete
  4. Nape na huyo msomali mahakamani ni lazima muende,na aliye uza loliondo na almasi zetu na mikatabaya epa,na kusafirisha wanyama nje mwisho wenu umefika.

    ReplyDelete
  5. Msomali yupi huyo,au unamaanisha huyu kigogo wa ccm anayesifika kwa ubasha na kila ziara akifanya ni lazima waongozane? Ina maana hata huyu jamaa ni ubwabwa? Wadau nitoeni tongotongo katika hili.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nape mbona long tym ni mchicha mwiba!we umesha wahi kumuona demu wake?watu wanamuhemea kisogoni kitambo tu mdau.

      Delete
  6. Nape aende the hague kwa lipi?

    ReplyDelete
  7. Ww nape ni kuma. Tena nyamaza maana hujui moyoni tumeweka nn. Na hicho chama chenu cha waizi mnatubebesha mizigo mizito kwa usenge wenu

    ReplyDelete
  8. We kuweza!! Ccm daima milele Tanzania juu!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ccm daima milele waseme wakina Ridhiwan huko sasa wewe mtoto wa fundi bomba wap na wap?na ndio maana utakufa na umasikin wako kwa uvivu wa kufikiri shwaini wee.

      Delete

Top Post Ad