YALIYO TOKEA JANA NI AIBU..RUGE AGOMBANIWA KWENYE SOCIAL MEDIA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




YALIYOTOKEA JANA NI AIBU...
Sorry to say ila Siamini kama Wanawake wanaweza kukosa akili kwa kiwango hiki...Nilijua Maturity ya Wanawake comes with age lakini nadhani I was wrong!
Kugombea Babe Ake kwenye Social Media kuprove Mchepuko NDIO DILI....NGACHOKA MIE
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kweli mchepuko nomaaaaaaaa. wote hao unashusha CV yako kujana baki njia kuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  2. makubwa kiazi

    ReplyDelete
  3. hmmm wanaume wa kiafrica chupi mkononi suruali nje nje hmmm chezea africam sura nyeusi haoni kazi kushusha suruali yake na kichupi chake

    ReplyDelete
  4. Njia kuu ndo yupi hapo?

    ReplyDelete
  5. Hkn ht mmoja njia kuu kuanzia bwana wao mpk hivyo videmu ushuzi wote michepuko

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaha asante mdau kwa jibu, maana wanajitutumuaje?

      Delete
  6. Hv Ruge alimwacha Irene Wa Arusha? Nashidwa kuwaleewa wanaume jamani Mmh Eeh Mungu nisaidie!! Kuoa ataki Ni kukojoa na kuondoka Haya!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Naomba kuuliza kwani ruge kaoa anamke?au kazaa tu nawanawake manawanasema anamke

    ReplyDelete
  8. Mtonyo ndo unawafanya hao makahaba wapigane vikumbo we unadhan hyo ruge angekuwa anauza dawa za panya na mende wangekubal kupangwa ka'mabehewa ya mwakyembe. Fanyen kaz mpate za kwenu njaa ztawaua ny**ooo

    ReplyDelete
  9. Yani ni aibu sijui huyo Ruge anajiskiaje, au ndo sifa

    ReplyDelete
  10. azeeki?au picha za zamani ....anaweusi mzuri ila kahaba la jiji

    ReplyDelete
  11. Hawampendi hajijui tu wanataka pesa mapenzi wanapata kwingine hauna anaependa kupanga foleni angekya muuza machungwa wangekubali awafanye atakacho..njaa zitawaua na ukimwi wa ku share kama ndala za chooni..

    ReplyDelete
  12. yani hawa wote mabulula aiseee hizi ni nyakati za kugombea wanaume kweli??? Ila czani kama hawa wote wanampenda kwadhati yani hapo hakuna mapenzi zaidi ya kupenda hizo hela zake tu. ZAMA Kpnz nilikua nakupenda sana na nilikua shabiki wako #1 ila kwa hili nimekushusha thamani hatareeeeeee. Kama Ray C nae alipost uko IG yule najua co kosa lake ni kosa la ile sembe alio kua anatumiaga kipindi kile.

    ReplyDelete

Top Post Ad