Majambazi Yavamia Kituo cha Polisi Kimanzichana na Kuua Askari Mmoja na Kujeruhi!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tukio hilo limetokea usiku wa saa nane katika Kituo cha Polisi Kimanzichana ambapo askari walikuwa lindo. Wakaja watu kama wanne hivi kwanza wakiwa na mwenzao ana bandeji akijifanya majeruhi wamekuja kuchukua PF3 wakamtibie. Kumbe ni majambazi wana mapanga wameyaficha kwenye makoti. 

Ghafla wakaanza kuyatoa na kuwashambulia askari na mgambo waliokuwa kituoni. Askari Ngonyani ambae sasa ni marehemu alijitahidi kupambana nao lakini alizidiwa nguvu na kumkata kata kwa mapanga pamoja na mgambo wawili waliokuwa kituoni hapo. 
Baada ya tukio hilo, majambazii hayo yalipora bunduki mbili za poliso aina ya SMG na Magobore mawili yaliyokuwa yakihifadhiwa kituoni hapo. 

Nje kulikuwa na sakari mmoja wakike alikuwa nje kwenye gari alijificha kwa kuwa hakuwa na silaha muda huo, na ndiye aliyetoa taarifa kituo kikuu cha Mkuranga mjini kwa OCD.

Bw. Ngonyani alifia hospitali ya wilaya akipatiwa matibabu, na mgambo wawili wanaendelea na matibabu, ila mmoja hali yake imekuwa mbaya na amehamishiwa Muhimbili.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duu binadamu wengine ni wanyama!!!! hadi kituo cha polisi duuu!!! polisi nao waliji sahau cjui mwee!! lkn hamjatuambia kama uchunguzi unaendelea au hao majambazi yashakamatwa.

    ReplyDelete
  2. now that's too much! Wamethubutu kufanya jambo kama hilo, Wakikamatwa wasifike hata Mahakamani hao.

    ReplyDelete
  3. Watu wengine ni wanyama.

    ReplyDelete
  4. daa hawa majambazi sikuizi lazima watakua wanajeshi na mapolisi sababu wanajiamini sana

    ReplyDelete
  5. Hao polisi wamezidi kuchukua rushwa na kudhulumu haki za raia, tumechoka nao. Kitu kidogo mpelelezi katoka, mpe nauli aende, hiyo bajeti yenu inafanya kazi gani?

    ReplyDelete
  6. R I P_ Ngonyani

    ReplyDelete
  7. naona ndugu yangu hata haujui unachangia mada inayohusu nn maana naona kama umelewa hv,habu angalia nature ya tukio halaf ndo ulete hayo mambo yako yasio na kichwa wa miguu,kumbuka wale ni binaadam wenzettu na sio wanyama



























    ReplyDelete
  8. Hao majambazi ni wale wanajeshi au mapolisi wanaotimuliwa makazini kwa sababu za kisenge ndio wanaokuja kulipiza vizasi kwa hiyo wakuu wa polisi au wa jeshi mjipange

    ReplyDelete
  9. Rest in peace afande ngonyani. Serikali ihakikishe family ya Askari huyu inatimiziwa mahitaji yao.

    ReplyDelete
  10. afazali majambazi hawa ningewajuwa ningewapa zawadi aise. tena ni bora wangechoma kabisa hicho kibanda cha polisi. mana 2mechoka na rusha zao.

    ReplyDelete
  11. Kuna mijitu humu ina roho za ajabu, polisi ni binadamu kama ww na si wote ni wabaya, unamaanisha huna jamaa, ndugu au watu wako wa karibu walioingia au watakaoingia polisi??? Polisi atachukuaje rushwa bila ww kutoa!!! Kwann utoe rushwa kama hauna matatizo ya ubongo ww!!! Rest in peace Afande, tuko nyuma yako tunakuombea!!!

    ReplyDelete
  12. acha ujinga cjui umetokea wapi au unajifunza ku coment akili zako cnzuri kumamayo tutolee usenge wako humu

    ReplyDelete
  13. msiwe mnalewa kwanza ndo mna comment bangi humu,? RIP afande.

    ReplyDelete
  14. camera za cctv ndio mpango mzima,serikali mlipe kipaumbele hilo,nchi inakwenda pabaya,hata ambao hatukuwepo enzi za mwalimu tunaona bora enzi za utawala wake kuliko hivi sasa.

    ReplyDelete

Top Post Ad