Mwigulu Nchemba: "Nataka Niwe Rais ili Niwafundishe Adabu Watanzania!"


Leo jioni, mjini Iringa kwenye viwanja vya Mwembetogwa, Mh Mwigulu Nchemba alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, alisema kuwa Watanzania wana uhuru mkubwa sana wa kuongea mpaka wanakosa adabu hata kwa wazee wao "..najua mnaona natumia lugha kali, lakini ndio kawaida yangu kusema ukweli, ...natamani niwe Rais wa nchi hii ili niwafundishe adabu Watanzania, ndio!" Labda inawezekana alimaanisha kuwafundisha adabu Watanzania fulani, lakini kwakuwa alikuwa akiongea kwa jazba aliteleza ulimi, au alimaanisha hivyo. Watu waliohudhuria mkutano huo walipigwa na butwaa, aliliona hilo na kubadilisha mada haraka. Aliwafurahisha watu pale aliposema"..kule kwetu Singida, ng'ombe mpole ndie anaekamuliws sana maziwa, lakini yule mkorofi anaachwa, kadhalika (serikali) inawatoza kodi wajasiriamali wadogo bila msamaha lakini wawekezaji wakubwa wanasamehewa mabilioni ya fedha!) suala hilo ameahidi kupambana nalo.

Tags

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Rais wa mama yako huko kwenu iramba kuma nyoko zako umefika huko sasa?msenge maziwa wewe badala ya labda kusema nitawakomesha mafisadi wewe unaongea ukuma msenge maziwa wewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mtaji wa MWIGULU ni kusema hovyo na USHIRIKINA wake,waganga ndo wanaomdanganya na kumlia hela anazotuibia watanzania.Anahaha sana kwa waganga wa kienyeji ndani na nje ya nchi,kaenda sana Benin.Togo na nigeria kwa masangoma.Kama Lowassa pia alienda kwa TB joshua kutabiriwa ndoto za alinacha za kupata Urais wa Tanzania.

      Delete
  2. kuma la bibi ake na mamake shamba msenge kweli

    ReplyDelete
  3. Labda tulogwe nchi nzima,utachaguliwa!kwanza ata aliyekupa unaibu waziri tunamshangaa.alikuwa timamu au!jinsi ulivyobwege ntozeni.kapige mswaki kwanza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe Mwigulu,siku uliyozaliwa wewe ni bora angezaliwa mbwa.

      Delete
  4. Viongozi wengi wa afrika wanafanana tabia,wezi,ulevi,na kuheshimu wageni ,zaidi ya wageni,kama husalimii baba na mama yako nyumbani ,itakuwa ngumu kusalimia majirani.
    Nchi inaongozwa kwa kufuata sheria ,na rais anaweza kufunguliwa mashtaka akivunja sheria,?huyu jamaa angezaliwa miaka ya 1945,angefanya hayo anayo dai,ila kwa sasa huyo dogo sijui hata amefikaje hapo alipo? hana hekima shida ni umaskini umemzidi na upeo mdogo,na kujua mambo akiwa mzee,wasomi watoke kidogo na wawe na uzalendo na nchi yao,,utawafundisha Watanzania wewe ni mkimbizi au vipi?, unafanana na huyo Muhogo anaye dai Watanzania.hawawezi kuwekeza ktk gas,afrika Mungu ametupa kila kitu shida ni viongozi hatuna,mtu anatala ajenge nyumba 7,ni sawa basi heshimu watu,kwani ukifa utaenda na cheo chako,au nyumba,au viwanja vya watu ulivyo chukua ,au wanawake wa watu ulio wadangsnya na.pesa?ikizidi sans miaka 70.au 90 Mungu tusaidie watanzania tuwe na umoja kama miaka ya 80.

    ReplyDelete
  5. umuhimu wa katiba mpya unaonekana hapo .tungekuwa na katiba imara Rais asingeweza kuteua mawaziri vichaa kama huyu

    ReplyDelete
  6. Hana lolote huyu anazungumza PUMBA.

    ReplyDelete
  7. Eti naibu waziri?! Yani ww angekuepo Nyerere ww hata kazi yakufagia uwanja wa bunge usingeipata!!

    ReplyDelete
  8. Mdau wa Juni 1, 2014 11:40 am umenena. Viongozi hatuna. Tangia uhuru tunachemsha tu. Vizazi vipya changamkeni na kubadilisha mwenendo badala ya kuigiza maovu.

    ReplyDelete
  9. Yani wewe Migulu nchemba uwe rais labda uwe rahisi,na safari hii hata ubunge utausikia tu!

    ReplyDelete
  10. kila nikimuona huyu jamaa au hata kumsikia nasikia kichefuchefu, hivi katokea wapi huyu? kweli Tanzania tumekumbwa na majanga kuwa na mtu kama huyu!

    ReplyDelete
  11. mimi huyubwana namwonakmhaouseboywa bunge hana mbele wala nyuma namshangaa sana anapopata kiburi cha kuongeahuyurais anampa nyazifa ambazo hawezkuzimuduhakir yake nanafasaliyo nayonitwo things tooo different..anahangaika may be awaloge watanzania ndo atakua rais...yy ni rais wa nyumba yaketuu sio watanzania mpumbavu sn huyu kuma

    ReplyDelete
  12. PAMPUTI PAKE

    ReplyDelete
  13. Rais wa ng'ombe iramba

    ReplyDelete
  14. Unapomtukana mtu ambaye hajakukosea unatakiwa umfate na umuombe msamaha ndiyo mungu atakusamehe.....mungu ametupa midomo lkn akatushauri tuchunguze sana ndimi zetu....kama ww ni Kijana wa kiislamu epuka kutukana juwa malaika anarekodi kila unaposema mema na mabaya....ushauri ni kheri ukae kimya kama huna jambo sababu utaepukana na zambi za kuumfata fulani kasema nn......ni hayoo tuuu....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na wewe unatafuta kutukanwa hapa sio?wewe huoni alivyotutukana msenge nini?

      Delete
    2. Mnafiki sana.

      Delete
  15. ni kweli kaka hapo juu, lakini haya mengine yanazidi na yanatia hasira

    ReplyDelete
  16. Utafundisha Adabu wabunge wanao fira Watoto Wa watu!!!!!!'

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Nyerere fufuka uje kuwaona majini ya kuzimu alivyotawala bunge Lako Baba!!!!' Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

      Delete
  17. Hawa viongozi wa jakaya nimajanga matupu sijui anawatoa wapi wehu kama huyu mwigulu!

    ReplyDelete
  18. Umemiss kufirwa wewe,kinembe kikubwa we,kuma la mamayo..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unatukana. Nini Sasa!' au wewe Ni mmojawapo???! Mdau ameongea ukweli wake" wewe unaleta Ukichaa wapi umu!' pumbaf!!' UKWELI NA UWAZI

      Delete
  19. huyo ni kilaza tu!

    ReplyDelete
  20. Hopless mwigulu

    ReplyDelete
  21. Watu kama hawa ndio hawafai hata kidogo hapo anawaza udikteta, tu hamna lolote, umfundishe nani, jiangalie we mwenyewe kwanzaunafundishika

    ReplyDelete
  22. Mimi na mlaumu.mweshimiwa rais aliwaza nini.kumpa huyu takataka mpumbavu kabisa wa mwisho ana faa akae vijiweni huko sio.kwenye wizara nyeti ya selikari ana mdomo mchfu elimu yake nani kaifatilia yakawaida sana hafai popote labda mdau aliyesa akaoshe vyoo vya bunge mdo labda hadhi yake. narudia mweshimiwa jk ulichemsha watanzania wengi waliuzunika sana

    ReplyDelete
  23. ''Ndege wa aina moja huruka pamoja'' inamchukua mtu smart kuweza kuchagua mtu smart, na vile vile inamchukua kilaza kuchagua kilaza mwenzie, hakuna sehemu nyingine yoyote duniani mtu kama mwigulu angeweza kuwa naibu waziri! Jamaa anaongea pumba as if there is no connection between the mouth and the brain! Nilishangaa na bado naendelea kushangaa sana aliwezaje kupewa nafasi nyeti kiasi hicho!

    ReplyDelete
  24. Mwigulu Mkundu wako, msenge wewe tuombe watanzania msamaha haraka sana, wewe ulivyobahatisha unaibu waziri unafikiri ndio umekuwa kila kitu? Msenge mkubwa wewe!

    ReplyDelete
  25. Mwigulu ni mbwa ni zaidi ya janga. Urais atausikilizia kwenye taarifa za habari. Kwendaaaaaa

    ReplyDelete
  26. Mwigulu hana lolote ni mwizi kama wezi wengine.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad