Steve Nyerere Agoma Kuwataja Mashoga Bongo Movies

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amekataa katakata kuwataja wanachama wanaodaiwa ni mashoga ndani ya klabu hiyo ya jijini Dar.

Akizungumza na Amani juzikati jijini Dar baada ya kuombwa kuwataja wadaiwa hao, Steve alisema hashindwi kuyaanika majina yao, bali uongozi wake kwenye chama hicho si kuingilia mambo binafsi bali kuunganisha umoja na mshikamano kwa ajili ya tasnia ya filamu za Bongo.

“Hilo suala kila mtu ananiachia mimi nilizungumzie kwa kukanusha au kuweka majina hadharani ya wanaodaiwa ni mashoga. Hadi namaliza uongozi wangu sitafanya hivyo,” alisema Steve.

Siku za hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari viliwahi kuripoti suala la kuwepo kwa mastaa mashoga kwenye klabu hiyo yenye nguvu ya ushawishi wa fedha mjini.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nae ndiga huyo

    ReplyDelete
  2. Ni tatizo linatibika,taja tuwasaidie waondokane na hilo.

    ReplyDelete
  3. Uwo ni ushenzi wewe steve fanya hata km unawajua inakuhusu mtu mzima una akilii

    ReplyDelete
  4. Hujiamini/huna uhakika?Unawaogopa?Hakuna watu wa hivyo bongo movie.

    ReplyDelete
  5. Ni akina nani hao jamani!

    ReplyDelete
  6. Watajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mxxxzxxxxxxxxxxssss kaz uuza sura tu.

    ReplyDelete
  7. Wataje tuwajue na tuwasaidie......

    ReplyDelete
  8. ushoga wa urafiki au ushoga wa kupumuliwa kisogoni?

    ReplyDelete
  9. kila mtu afanya yakee awatajee ili mgundue nn

    ReplyDelete
  10. Naamin hakuna mashoga bongo movie acheni kupakazia watu hicho kitu sio kizuri kabisa tena kinaumiza sana kuzushiwa

    ReplyDelete
  11. Hakuna ukweli ndio ksma wapo huwa wananyoosha kidole hawajifichi

    ReplyDelete
  12. sasa katika hao nani umemuona anatabia za kishoga?

    ReplyDelete

Top Post Ad