VIDEO: FLORA MBASHA akomba kila kitu ndani ya Nyumba na kutokomea na Mtoto

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana.


Ilisemekana kwamba wakati hayo yakiendelea, Mbasha alikuwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Keko jijini Dar es Salaam ambako alishikiliwa.

Kwa mujibu wa mtu aliyeambatana na Mbasha alipopata dhamana dhidi ya kesi yake inayomkabili ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, alipofika nyumbani kwake Tabata-Kimanga, Dar alipigwa butwaa kukuta hakuna vitu ndani!

Habari zilidai kwamba alipowauliza majirani kama walimuona mtu akiingia ndani walimwambia mkewe (Flora) ndiye alikuwa akiingia na kutoka mara kwa mara.

Ilielezwa kuwa vitu hivyo vilihamishwa Juni 16 ambapo Mbasha alitoka mahabusu Juni 17, yaani siku moja tu.

KITANDA CHA BEI MBAYA

Baadhi ya vitu vilivyodaiwa kuchukuliwa nyumbani hapo ni kitanda cha bei mbaya walichokuwa wakilalia kwenye chumba cha baba na mama huku akimwachia neti ikiwa inaning’inia.

SUTI ZA MAREKANI

Vingine ni makochi huku akibakisha sofa ndogo ya mtu mmoja, vitu vyote jikoni na nguo (suti za bei mbaya, walizonunua wakati wakiwa Marekani).
Pia alidaiwa kukomba vile vidani vyote vya dhahabu.

ZAIDI YA MIL. 13

Ukiacha zile hati za nyumba, viwanja na mashamba, gharama ya vitu vyote vilivyochukuliwa ndani ni zaidi ya Sh. milioni 13 za Kitanzania (kama zile ambazo Wema Isaac Sepetu alizomlipia Kajala Masanja asiende jela).

AMWAGA CHOZI

Baada ya kukutana na mazingira ya aina hiyo, lilikuwa ni pigo lingine zito kwa Mbasha ambaye alijikuta akimwaga chozi kwa mara nyingine kwa sababu ya mkewe Flora aliyedumu naye katika ndoa kwa takriban miaka 12.
Ilidaiwa kuwa, Mbasha aliumia kupita kiasi huku akiomba Watanzania waone ubaya aliotendewa.

AMANI LAPEKUWA CHUMBA HADI CHUMBA

Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, Amani lilifika nyumbani hapo ambapo lilipata mwanya wa kuingia ndani ya nyumba hiyo kisha kupekuwa chumba hadi chumba na kujionea kulivyokuwa kweupe huku madirishani mapazia yakiendelea kubembea kwa upepo mkali uliopo Dar kwa sasa.
Kimuonekano, nyumba hiyo ilikuwa kama kuna familia ilihama hivyo inahitaji kupangishwa au kuhamiwa na mwingine.

MBASHA ANASEMAJE?

Alipotafutwa Mbasha kuzungumzia ishu hiyo alikiri kukuta hali hiyo nyumbani kwake baada ya kupata dhamana.
“Nilipofika nyumbani kwangu nilikuta ufunguo wa nyumba kwa majirani. Niliwauliza kama kulikuwa na mtu anaingia nyumbani nikaambiwa ni Flora. Kama mnavyoona kuna vitu vingi vya ndani havipo,” alisema Mbasha.
Alipoulizwa kama ana uhakika kuwa mhusika ni Flora, Mbasha alisema  yeye alikuta nyumba nyeupe.
Jitihada za kumpata Flora hazikuzaa matunda kwani simu yake ya kiganjani haikuwa hewani juzi Jumanne mpaka gazeti hili linakwenda mitamboni.

TUMEFIKAJE HAPA?

Kabla ya Mbasha kukabiliwa na kesi hiyo ya madai ya ubakaji wa ndugu wa Flora, Mei 23 na 25, mwaka huu, tayari kulikuwa na mgogoro wa ndoa. Flora alishaondoka nyumbani na kwenda kuishi hotelini maeneo ya Sinza jijini Dar.

Video Hapo Chini:
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

53 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. flora mwanamke huna haya wewe..nimekusifu kwa kumriport mumeo polisi kwa kufanya mapenzi yakulazimisha nanikaona wewe ni mwanamke shupavu sana wengi wao atuwezi tunabakia kubakiwa hadi watoto zeu tunakaa kimya kwa kuogopa haya(aibu)ila kuchukua vitu na makaratasi ya hati ya nyumba huo ni ugonjwa ambao utakuwa ni msalaba kwako.kumbuka mali ni za hii dunia tu ukifa unaziacha..kwa nini usingetumia ustaarabu wakuongea nawazai wapande 2 kuhusu mgawanyo wa mali?kama mbasha umtaki?mi sikushauri umrudie mbasha kwa kuwa wewe sio mwanamke unahestaili kuwa nae katika maisha yake.flora wewe ni karma.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Shosti leo umeongea pointi sana

      Delete
    2. Nana junior nilijuaga mdogo kumbe Ni mwanamke aliyeolewa na familia juu sasa matusi yooote ya nini?watu wengine wanapenda kujitoa fahamu kweli.

      Delete
  2. Pole sana kk,hh ni dunia2 na kila jambo linawakati wk najua ipo ck utafurahia maisha yk tena jp ss ni wakati mgumu sn.Mungu y pamoja nawe

    ReplyDelete
  3. Hakuna jema chini ya jua undani wa Maisha na Ugomvi wa Ndoa ya Emma na Flora wanao wenyewe na Shahidi wa kweli ni Mungu, sisi binadamu tunahukumu bila kujua ukweli na kusikia storry ya upande mmoja.Toa boriti kwenye jicho lako ndio utaona kibanzi kwenye jicho la mwenzio.yote yatapita na kusahaulika.

    ReplyDelete
  4. Siwez kumtete Mbasha km alibaka ila km alikosa Flora hutakiwi kuchukua hatua hizi! Mbona km kunamtu anakupa jeur? Ww ni mtu wa dini polisi ndo uliona sehem sahihi yakutatua kec za ndoa?ww c mristu!sawa kakukosea lakini hizi hatua lazima kuna mtu anakusukuma natena anania yakumdhalilisha mumeo.jiangalie sn,ww nimkamilifu kiasi hicho?hii nidunia mama hua inageuka vibaya sn!Mbasha ushauri wangu kwako achana na vyombo vya habari havikusaidii kwa ss vinakufanyia biashara hivi nyie Ukristo wenu uko wapi? Kilakitu hadharani na kwenye sheria! Kaa kimya fanya mambo yako kimya huyo c mwanamke kakuadhirisha sn!

    ReplyDelete
  5. apo mwanzo nilikuwa nipo upande wa mbasha niliposikiliza ile clip aliyo mtumia shemeji yake du anaomba msamaha sana asamehewe na shemeji yake so niko upande wa frora uyu mbasha atakuwa alikuwa anafanya mambo mengi kwa frora ss frora kasema imefika mwisho sisi wanawake wavumilivu sana sasa uzalendo umemshinda kaona km noma na iwe noma safi frorah ivyo ivyo mama

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unahakika gani km kweli ni sauti ys mbasha?

      Delete
  6. tatizo la frola kanogewa na miogo ya nje ndo ushauri wangu pole sab mbasha kuchapiwa ni siri ya ndan kumbe na walokole mnachapiwa

    ReplyDelete
  7. ukweli ninao ujua mim frola kanogewa na boro la gwajima inawezekan gwajima atakuwa na boro lefu kuzidi mbasha ndo maoni yangu

    ReplyDelete
  8. mbasha fanya yako hapo amna ndo frola inaonekana akutaki tena namuunga mkono mdau hapo juu inawezekan gwajima kakuzidi ufundi kitandani aisee pole mbasha na kuma la mam yako kwa kubaka shemeji

    ReplyDelete
  9. Sasa wenye kujua taratibu ndoa Kama hii inavunjwa wapi?ili kila mtu awe free kuoa au kuolewa?

    ReplyDelete
  10. Jamani mwenye information za hii kesi aende polisi, fikiria jamani haki itende, we not sure kama kweli kabaka if not then hatua kali ichukuliwe kwa frola, sishabikii ubakajibaji hat kidigo,

    ReplyDelete
  11. Najiuliza kuna kitu gani umemfanyia mwanamke huyo mpaaka imekua vita kubwa kati yenu mliokua mkihamasisha upendo,amani, pamoja kwa kutumia jina la yesu.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lazima kuna aliyomfamyia akavumilia sasa ameona yatosha kaamua moja. Ni kawaida ya mwanamke akishachoka ana maamuzi magumu na jamii huishia kumuona yy mbaya na mkosaji

      Delete
  12. Hakuna kitu kingine dunia kitakacho mbadilisha Mwanamke zaidi ya BORO naungana na wadau hapo juu Flora kanogwea na BORO la Gwajima tu hakuna kingine...ila atakuja kujuta what comes around goes around hukumu ni hapa hapa Duniani...

    ReplyDelete
  13. mdau apo juu sawa kabisa gwajima inaonekana ana bonge la boro aisee kama sikosei mbasha ana kibamia ajui kumkuna frola ibasavyo ila frola kwa staili hii kuma la mama yako kwa kuvunja ndoa yako kwa mikono yako.mwenywe mavuzi ya gwajim

    ReplyDelete
  14. mbasha ulikuwa unatomba san nje frola anavumilia lakin alipo pata mboo ya gwajima sas ndo kaisha fika tafuta pa kuficha uso wako mbasha frola uyo anaenda kuliwa kiulaina na boro la gwajima chezee mhogo wa njee weee

    ReplyDelete
  15. aisee asikwambie mtu mwanaume wa njee mtamu sana mwanzo mume wangu alikuwa mzinz mara madada wa kazi mara mabest zang aisee nilikuwa naumia san lkn nami nilikaa kimya nilipo pata mboo ya njee mbona anajamba cheche now kila akinigusa nimechoka maan napigwa miti.njee balaa na yey zaman nilipo kuwa namgusa nimechoka sas dawa ya moto ni moto now ana raha ananiambia mke wang umebadilika mm namjib niko vile vile sas simshangai frola atakua alivumilia meng kw uyo mbasha acha asepe ndoa ngumu

    ReplyDelete
  16. pole.mdau apo juu ni kweli ndoa ni ngumu mm niliifunga lakn najiuliaa kwann nilifunga hii ndoa jmn frola mumuache matatizo ya ndoa ni meng kama ujaolewa au kuoa ingia uyaone mwaka ni mwing utataman kuachia ngazi aisee ndoa ni ngum na simshangai frola au bahati bukuku kushidwa ndoa

    ReplyDelete
  17. ACHA KUCRY CRY MTOTO WA KIUME SIMAMA MWENYEWE TATIZO ULITEGEMEA FARANGA ZA MKE WAKO KIUTAMADUNI HAIWEZEKANI ZAO ZAO ZETU ZAO.

    ReplyDelete
  18. Ndoa ngumu ila watu wanaenda mpaka kwa waganga ili waolewe

    ReplyDelete
  19. ao wanao ingia ktk ndoa kupitia kw waganga utawajua tu ata mwaka uwa auishi ila frola aisee ulokole apo amna

    ReplyDelete
  20. wote mnao mtukana gwajima mmkome mchungaji wetu, wengine hata mlango wa kanisa hamuujuwi kazi kutoa lugha chafu kwa watumishi wa Mungu, mkipata matatizo mchungaji nisaidie, mmelaaniwa kwa maneno ya vinywa vyenu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe inaelekea libwata limekukole,endelea kupoteza muda hapo kanisani hakuna upako Ni mauzauza matupu.

      Delete
    2. Mtumishi Wa MUNGU,?astaghafiluuuu!!!!!!!

      Delete
  21. my God........ May God be with you brother mbasha

    ReplyDelete
  22. gwajima asitukanwe ana.nin aswa kuvunja.ndoa ya mbasha msenge.kweli.unaye mtete km ni mwanamke tayari ameisha kutomba kama ni mwanaume tayari gwajima ameisha kufira basi utakuwa mke mwenzie frola gwajima ana ubiri ushuzi tu

    ReplyDelete
  23. na wew unafata nin uku kma unaujua mlango wa kanisa uku kwenye udak wafata nin si ndo wale wale wakina frola kujifanya wameokoka kutwa wanatobwa nje kashifa ya frola imezidi ya epa na lichimondi

    ReplyDelete
  24. na wew unafata nin uku kma unaujua mlango wa kanisa uku kwenye udak wafata nin si ndo wale wale wakina frola kujifanya wameokoka kutwa wanatobwa nje kashifa ya frola imezidi ya epa na lichimondi

    ReplyDelete
  25. bora ya vick kamata hii ya frola na ulokole feki imezidi ya epa na richimond ndau apo juu umenichekesha

    ReplyDelete
  26. mtoto ana umri wa miak 11 lipo limekarisha matako alitaki kuzaa lione li frola ukute ata uyumba lilikuwa linamunyima mbasha eti wimbo maisha ya ndoa. maisha ya ndoa ayo ndo uliyo imba we frola na pua kubwa kma papa wemba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eehe kumbe wattu wanamjua flora kiundani umu?

      Delete
  27. na kweli frola aliimba maisha ya ndoa sasa uo wimbo tunataka arudie mashair yake mwenywe arafu atapata jib lipo limekarisha matako alitaki kuzaa tena mtoto miak kumi na moja naskia alikuwa atoi unyumba kipind cha mwaka mzm mbasha nae kavumilia meng paka shume we frola unakomba mali ili iweje kumbe bado limbukeni kenge maji we na gwajima wako

    ReplyDelete
  28. Jamaani nyie waimbaji wenzie tunaomba mumshari huyu mwenzenu, hii ni dunia tu Florah, mimi nitafunga kwa ajili yako Mbasha, nasikia uchungu ambao hata hausemeki, huyu Florah ni zaidi ya boko haramu, poleni wanaume wote mliooa duniani kumbe mnaishi na moto mkali hivi! Sijui nani alianzisha haki xza wanawake akamjumlisha na Florah, daa Mwenyezi Mungu ulieweza kutofautisha binadamu na wanyama tunaomba unyooshe mkono wako wa ajabu na faraja kwa wazazi wa mbasha na mtoto wao Emma, tunalia lkn Ukweli upo mioyoni mwao. Emma Wote tutakutenga hata mkeo lkn Mungu aliekuumba hatakuacha kamwe kwa shida na raha, hata ukifungwa ujue mpo pamoja nae, huyo mkeo sio mtoto ni Zinduna

    ReplyDelete
  29. ha ha ha zinduna iyo kali nipe maan yake mdao frola ndo mshenzi tu mwnamke.mjinga atavunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyew sasa.ndo.kaisha maliza mwenywe mchawi ni yeye mwenyew kumbe lilikuwa alitoi kuma kwa mume sasa unatrmea nin frola kuma la mama yako

    ReplyDelete
  30. bado na ka kiristina shusho nako uwa kanajifanya kanamjua sna.mung subiri nae.kiama chake kitafika bahati bukuku alijishaua san.mume akamkomesha akamleta ukimwi bado uyo shusho naxan ya kwake skendo.itazidi ya rowasa

    ReplyDelete
  31. Mi namshangaa Mbasha analia lia ovyo jamaa anaonekana alikuwa super marioo kweli kama bwege yaani angekuwa brother angu ningempa kibao cha kerebu yaani anachosha wacha mke atimue na sio kupenda umariooo unamsumbua

    ReplyDelete
  32. Mtoto wa kiume unatia tia huruma kama fala akifungwa huko ndani watabidua

    ReplyDelete
  33. Hahahahaa...kwa vile tukio kafanya mwanaume basi kila mtu anamtetea Emanuel!! Angefanya mwanamke(kubaka au kulala na ndugu wa mumewe) ungesikia kila mtu anamponda mwanamke mlupo, sijuwi kicheche. Inasikitisha sana

    Wewe Emanuel Mbasha hivi kusoma hujuwa hata kuona huoni!!?? Mkeo kakuacha na hakutaka kapata wakumshika maskio.
    Kikao kimefanyika na wazazi wako wamemuomba flora arudiane na wewe, ila kakata mara tano! Ngoja nikuulize unamjuwa Papii Kocha na Mzee Nguza ?? Wanaozea jela kwa sababu ya ubishi wao...waliambiwa acha apo pamuheshimiwa wakatia kichwa ngumu. Sasa leo wapo gerezani kwa kesi ya kuzushiwa, na wewe endelea kusema nampenda mke wangu namtaka mke wangu kama hujaishia kunyea debe!! Tanzania hakuna sheria kwa mnyonge...shauri yako.

    Chakufanya fatilia Sheria za mwanao na mali ulizo chuma na mkeo basi. Flora mfute akilini kwa sasa
    Mali umechuma na mkeo na unayo share yako , mtoto flora hakuzaa mwenyewe ni mwanao pia, upewe haki ya kuwa na mwanao pia. Mengune yoooote yaache ya pite na mkabidhi Mungu.

    Nasemaga kila siku hamna binaadam alie okoka huwa wanaongoka tu. Wengi hutumia jina la Mungu kujipatia pesa na kuficha maovu yao. Sad sad

    ReplyDelete
  34. Kweli hakuna binadamu anayeweza kuokoka zaidi ya kuongoka tu. Hapo nimekukubali mdau hapo juu

    ReplyDelete
  35. mchepuko sio dili baki njia kuu we mdada acha kuendekeza uzinzi

    ReplyDelete
  36. uzinz anaendekeza mam yako mzaz kuma we

    ReplyDelete
  37. Kukosea ni ubinadamu, huwezi kuwa binadamu mkamilifu labda uwe na nguvu za kumungu,ndio maana yesu alipowaambia wale watu waliokuwa wanataka kumpiga mawe yule mwanamke mzinzi, aliye safi kati basi awe wa kwanza kumpiga mawe.

    ReplyDelete
  38. Mbasha ka BASHA vile,we mwanamke katamka Mara tanoooooo HAKUTAKI bado unataka nini?mzima kweli wewe?mbaya zaidi katamka mbeleeee ya baba na mama yako,endelea kumfuatilia flora,mke wangu mke wangu utaona cha moto,mwenzio anatunzwa na mwenye Hela ndefuuuuuu ,ukijitia uuuuu watakurestisha in peace ohooooooo.wanyonge Tanzania awanaga haki ooohoooo.

    ReplyDelete
  39. Mbasha hajambambikiwa kesi ya kubaka,ukweli kabaka,na pengine hicho kitendo cha Mbasha kukataa kosa ndio kinamtia Flora hasira.Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza,mnjeujua undani wa hawa wanandoa tusingeongea yote haya,tutaongea mengi lakini ukweli wenyewe wanaujua.Flora please,please,please,forgive&forget.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mwaka mzima kapangishiwa hotel kamwacha Mbasha na shemejie unategemea nini?abake ijumaa,abake tena jumapili ainiingii kabisa we flora endelea na Hao wanaokupa jeuri.utajuta vunga ndoa kanisani

      Delete
  40. Machozi ni kitu cha kawaida hasa kwa mtu anaejihami,tumeshaona watu wanatoa machozi mahakamani kiasi kwamba mtu unaamini labda kweli hajafanya kosa, lakini jinsi ushahidi unavyoendelea mwisho ni kuombwa msamaha,"Muheshimiwa nisamehe,nilisema uongo kuogopa kufungwa na kuacha watoto" Tuwaombee tu.

    ReplyDelete
  41. Haaaaaaaaaa, kumbe kuachwa kubaya,dume zima latoa machozi,basi na wewe flora msamehe mumeo wa ujana bab!

    ReplyDelete
  42. Dunia tunapita mali tunaziacha samehe saba mara sabini#dah we mwanamkee kufuruuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad