Diamond Awatia Kiwewe Nelly na Chriss Brown, Wagombea number zake za Simu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Andrew Carlos na Musa Mateja

Next level! Staa wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anafanya kweli kimataifa, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ameandika historia kwenye Tuzo za Black Entertainment Television (BET) 2014 huku akiwatia kiwewe mastaa wakubwa kama Cornell Iral Haynes ‘Nelly’, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ na wengine kibao.

Tukio hilo lilijiri usiku wa kuamkia Jumatatu wiki hii kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre jijini Los Angeles, Marekani ambapo Diamond alikuwa ameteuliwa kuwania Kipengele cha Mwanamuziki Bora kutoka Afrika akiwa sambamba na mwanamuziki Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Tiwa Savage (Nigeria), Toofan (Togo) na Sarkodie (Ghana).

TUZO YAENDA KWA DAVIDO
Tuzo hiyo haikuwa bahati kwa Diamond kwani ilikwenda kwa Davido.
Licha ya kukosa tuzo hiyo, yapo mengi ambayo Diamond ameweka historia au rekodi katika ‘event’ huku kuunganishwa na mastaa hao ikiwa topiki muhimu.

MCHUMBA WA CHRISS BROWN AMSHOBOKEA
Katika hali ya kushangaza, mwanamitindo maarufu Marekani ambaye ni mchumba wa Chris Brown, Karrueche Tran alionekana kumshobokea Diamond mara alipokutana naye uso kwa uso.
Karrueche alijikuta hajiwezi alipokuwa  akimhoji Diamond ambapo moja kwa moja alimvutia kipaza sauti na kuanza kumpiga maswali huku akionesha kuvutiwa naye kwa muonekano aliokuwa nao.

Karrueche alikuwa akijichekeshachekesha huku akimhoji kuhusiana na mwanamuziki ambaye Diamond anamkubali ambapo alijibu ni Chris Brown, wote wakajikuta wakiangua kicheko.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Karrueche muda wote aliendelea kumshangaa na mwisho wa siku wakabadilishana namba za simu.

MASTAA MACHO JUU
Ulipofika wakati wa utoaji tuzo katika kategori ya Mwanamuziki Bora kutoka Afrika, lilipotajwa tu jina la Diamond kutoka Tanzania na wimbo wake wa Number One RMX, mastaa kibao walionesha kushangaa na ndipo macho yote yakahamia eneo aliokuwa amekaa.
Wengi walionekana kutoa maneno ya chinichini sambamba na kumuoneshea vidole wakionesha kumkubali kwa kutinga mjengoni hapo.

NELLY, CHRIS BROWN WAINGIWA KIWEWE
Wakati Diamond anaingia ukumbini, mastaa mbalimbali duniani walionekana kumshangaa na kati yao alikuwa ni Nelly ambaye aliushikilia mkono wa Diamond kwa sekunde kadhaa akitaka waendelee kupiga stori.

Wakiwa katika zulia maalum jekundu, Nelly aliyewahi kutamba na wimbo wake maarufu wa Dilemma alionekana na kutaka kumfahamu zaidi Diamond.

Kila sehemu aliyokuwa akienda, Nelly hakutaka kumuacha na alionekana kuambatana naye kwa kumng’ang’ania mkono kila kona akipiga naye picha na kuzunguka eneo lote wakiwa pamoja.
Naye Chris Brown ambaye aliangusha bonge la shoo alionekana kumshangaa Diamond huku akitamani kuendelea kukaa naye.

Kwa mujibu wa shuhuda wetu ukumbini humo, maswali mengi yaliibuka kuwa iweje, kwa Mtanzania kama yule kukanyaga katika mjengo mmoja na mstaa wa dunia.

TYSON, MAYWEATHER WADUWAA
Mabondia maarufu duniani akiwemo Floyd Mayweather na Mike Tyson walijikuta wakiduwaa kwa kumshangaa kwa kila hatua aliyokuwa anapiga. Macho yao hayakuwa mbali naye na hata katika zulia jekundu, Maywearher, baada ya kumaliza kupiga picha akiwa na mkewe alimfuata Diamond na kuongea naye mawili-matatu kuonesha kukumkubali.

MASTAA KIBAO WAGOMBEA NAMBA
Wakati shoo hiyo ikiendelea baadhi ya msataa waliokuwa pembeni na  Diamond walionekana kumfagilia na hata wengine kuomba namba za simu kwa malengo tofauti ikiwa ni pamoja na kutaka kufanya naye kolabo katika siku za usoni.

LUPITA, DIAMOND USO KWA USO
Staa kutoka Kenya ambaye anatingisha katika soko la filamu za Hollywood, Marekani kupitia filamu ya 12 Years A Slave, Lupita Nyng’o alikutana uso kwa uso na Diamond wakiwa wote wametokea Ukanda wa Afrika ya Mashariki.

Walionekana kuwa na furaha kwa pamoja na ikumbukwe kuwa Lupita amejizolewa umaarufu mkubwa ambapo hata Jay-Z na Rihanna waliwahi kuandika kupitia kurasa zao kwenye mitandao ya kijamii wakioneshwa kumkubali kwa kazi zake.

Mastaa wengine wakubwa aliokutana nao ni pamoja na Ashanti, DJ khalid, Jeniffer Hudson, French Montana, John Legend, Paris Hilton na wengine kibao

HABARI NYUMA YA PAZI
Duru za kibahari zilieleza kwamba mambo yote yanayokea kwa Diamond kuna nguvu kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ambaye hivi karibuni alimkutanisha mtoto huyo wa Tandale na meneja wa wanamuziki wakubwa duniani, Tremaine Neverson ‘Trey Songz’ na Sean Michael Leonard Anderson ‘Big Sean’, ili kufanya nao kazi.

“Siyo jambo rahisi na bado milango itazidi kufunguka zaidi kwani JK aliahidi kumsaidia. Kwa kuunganishwa na mastaa wakubwa duniani sasa hivi utasikia amehamia Marekani kutusua mtonyo,” alisema mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva ambaye naye anafanya vizuri.


Akizungumza na mwanahabari wetu kutoka jijini Los Angeles, Diamond alisema kuwa hakuamini jinsi alivyopokelewa na mastaa wakubwa ambao hakutarajia kukutana nao uso kwa uso.
“Sasa najua ndoto itatimia. Mastaa wakubwa lakini wamenionesha upendo wa ajabu. Naona wasanii wote duniani wanapendana sana. Jamaa hawana ubaguzi. Walinichangamkia sana utadhani tunafahamiana.

“Kuna mengi nafanya nao lakini siwezi kuwataja kwa sababu si unawajua Wabongo?
“Lakini nikidondoka tu Bongo naachia video mbili kali sana, mashabiki wangu wasikilizie.
“Kuhusu kukosa tuzo, mimi naona ni mwanzo mzuri. Inanipa hasira ya kutengeneza muziki mzuri utakaopendwa na watu wengi duniani. Tusikate tamaa, ni mwanzo mzuri. Pia asiyekubali kushindwa si mshindani,” alifunguka Diamond akimshukuru Mungu kwa yote anayomtendea kila kukicha kisha watu wanampa sapoti.

SASA LEVO ZA AKINA HASHEEM THABEET
Kwa sasa Diamond anakuwa ni staa mwingine wa Kibongo wa kimataifa akitanguliwa na staa wa NBA, Hasheem Thabeet, Modo Flaviana Matata na wengineo.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

51 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani nimwanamke.
    Kisha mbona utupi video yke akiongea nao akicheka
    Kizungu cha TZ

    ReplyDelete
  2. kapiga hatua kubwa sana, like it or not habari ndo hiyo

    ReplyDelete
  3. HAYA MANYEMA KANYAGATWENDE ! CHEZEA UJIJI KIGOMA WEYE?.

    BIG UP NASSIB, UNCLE WAKO . DENMARK

    ReplyDelete
  4. Eti Karrueche Tran Amshobokea! Sidhani kama ni sahihi, appreciation sio kushoboka. Hapa ndo wabongo tunapochemkia.

    ReplyDelete
  5. Oya wazungu co kama wabongo kuwanae karibu ni kumpa moyo acjickie vibaya wala asihis upweke ila, bigup .....!

    ReplyDelete
  6. I really laughed da people ur talking about dey have sold millions of albumz al over da world. diamond ameuza ngapi? kuna msemo wasemwa seeing is believing tuoneshe a proper photo dey took wid dem. wakuza vitu havipo. jamani

    ReplyDelete
    Replies
    1. kapga hatua kubwa, we utaishia kuwaona kwenye dvd mwenzio kawaona live, chuki binafsi za nini penye sifa mwenzio msifie penye kukosoa mkosoe

      Delete
  7. stunning...hongera,alikuwa nashangaa mataa maana mh!!alafu kajitahidi sana yote ni mipango ya jesus christ.mtu akifanya japo msifikirie kwa uwezo wake ni yesu alpha na omega.Congrats tanzania with diamond platnumz

    ReplyDelete
  8. hongera dai mungu akubaliki uzidi kupenya na kupendwa zaidi kwa kazi zako!

    ReplyDelete
  9. eti demu wa chris kamshobokea kwa lipi !!!! ufala wewe admin tupia picha na uache kukuza mambo

    ReplyDelete
  10. ha ha ha mmmweeeh watu kukuza mambo mmmh

    ReplyDelete
  11. Mlianza na Davido ajuta ku mshirikisha diomond kwenye wimbo wake, davido huyo kachukua tuzo sasa mmehamia kwa nelly amshobokea diomond, acheni hizo wa bongo mpeni hongera zake diomond kuuza sura kwenye red capeti na kumtangaza sheria ngowi ktk vazi la suti, kwa lugha ipi ya mawasiliano aliyoitumia nelly na diomond? Mpaka mseme kashoboka? Demm fulllll udaku!

    ReplyDelete
    Replies
    1. HUYU ADMIN MJINGA KATENGENEZA STORY KAMA ANASIMULIA WATOTO,KAMSHOBOKEA?TUZO ZENYEWE SAA 2 ASUBUHI AFU ZAO JIONI HUONI NI DISCO TOTO HILO?

      Delete
  12. kabisa mdau apo juu ivi kwa lipi au ndiyo mmeoewa hela mumkuze mkazani wabongo wajinga mm najua diamond anajua sana kujipendekeza ivi mnamuona hb au yan demu wa nelly amzimikie yy au kajipaka madawa ya uchawi mmmh

    ReplyDelete
  13. Mtabakia hivyohivyo eti mchawi mwenzenu anasonga mbele ndo mana hamfanikiwi kwa roho za korosho!

    ReplyDelete
  14. Jamaa ndo uyoooooo wabongo mtabakia hvyo hvyo na majungu

    ReplyDelete
  15. Angekuwa amefanikiwa angakuja na tuzo kupiga picha na nelly ndio kufanikiwa nenda bongo5 kaangalie ma hojiano ya Vanesa mdee anapicha mpaka na J z , kanye west lak8n8 ana piga kimya maisha ya naendelea, Diomond anajitahidi ila wa andishi wa habari wanao hongwa hela kupamba magazet kwa upu uzi wa vichwa vya habari.

    ReplyDelete
  16. Wew hapo juu wivu tu unakusumbua na roh mbaya yako!huwez kumfananisha dai na vanesa!kwa lip!vanesa nyota yake ngumu sio kama ya dai anapendwa sana!mnyonge mnyongen haki yke mpen.honger dai!

    ReplyDelete
  17. we ndiyo mjinga kweli kwa taarifa yako vanesa yupo kimataifa zaidi kiliko dimond we unamjua dimond sbb za sifa zake vanesa hanaga sifa za kijinga

    ReplyDelete
  18. kashindwa kashindwa tuu thus all sionagi jamani huyu kaka anachokifanya labda tunamitazamo tofauti eti Nelly kamshobokea fuckyou admi kwanza kaonekana km kibaka kaenda chafua red carpet yani kameoneka kama katakataka wanakatia moyo tuu coz kanatia huruma tehe tehe teh,

    ReplyDelete
    Replies
    1. angekuwa hana anachokifanya asingefika huko,jamaa katangaza nchi acheni wivu usio na kichwa wala miguu,jamani mpeni hongera zake he did the best

      Delete
  19. Wabongo wivu hatupendani nyokooo mtabaki kuwaangalia ma star kwenye tv mwenzenu kawaona liveeeeeee,

    ReplyDelete
  20. Jamani tunaomba siku moja tuuuuu mtupe ka clip diamond akiongea kiingereza tumsikie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hiyo clip itakusaidia nini,ndomama ningumu sana wabogo kujua kizungu cos kila ukiongea wanaona unabofoa,we cha kwako kiko wapi? na wajerumani nao mbona hawaongei kizungu na wanavuka mipaka,jamaa anachanja mbuga we umekazana na clip ya kizungu

      Delete
  21. Hivi walikuwa wanazungumza lugha gani na karrieche mke Wa nelly?Tanzania tumeaibikaaaaa,diamond Kingereza kajulia wapi?????????

    ReplyDelete
  22. Hongera sana Diamond kwa kupeperusha bendera ya Tz Mungu azidi kukufanyia wepesi ufanikiwe zaidi na mrembo wako Wema wenyewe akuuu tunawaacha mlale, piga kazi dogo unafanya vizuri sana, lkn ninaombi nje ya tuzo, nngependa sana Diamond umuoe Wema jamani mnapendeza wenyewe basi tu sisi tunapanga na Mungu anapanga

    ReplyDelete
  23. weee hapo juuu kuma ya mbuzi unaongea hivyo iliupewe ushenga au mijitu mingine sura km katikati ya mapaja changia mada na sio ushenga kuwadi mkubwa ww mchambia msumeno

    ReplyDelete
    Replies
    1. Afadhali mimi mcjambia msumeeno kuliko wewe unaeshika goti dume zima unamkatikia mwenzio, huo wivu wenu ndio maana unashindwa kuendelea, ndio mimi kuwadi hata yule anaemgegeda baba yako ni mimi nilimtafutia, kama una jipya karibu, acha diamond asifiwe akiwa hai wewe subiri siku ya kuaga maiti yako ndio utasifiwa, mwanak***na wewe

      Delete
  24. weee hapo juuu kuma ya mbuzi unaongea hivyo iliupewe ushenga au mijitu mingine sura km katikati ya mapaja changia mada na sio ushenga kuwadi mkubwa ww mchambia msumeno

    ReplyDelete
  25. hahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahhahah mdau umenfurahsha

    ReplyDelete
  26. Diamond basis bro ushapiga nao picha we rudi bongo tuendelee na ramadhan kareem

    ReplyDelete
  27. Hajapata tuzo mnasema demu wa chris brown kamshobokea......angepata c mngesema amemgonga Nicki Minaj......

    ReplyDelete
    Replies
    1. kweli umefikiria mbali mdau

      Delete
    2. haha kwan ninkki minaji ni nani si anatombwa tuu kwan diamond hana mboo ya kumtombaa nikki watanzania ziro kweli

      Delete
  28. walikuwa wanashangaa hiki kituko kimefikaje hapa?yani ukumbi mzima domo ndo alikuwa kituko

    ReplyDelete
  29. Kusema ukweli wote wanao mshobokea domo wamefunikwa na mapepo nani agent wa domo bilakujijua achenikushabikia vitu msivyovijua kisa mnaona kwa macho tu

    ReplyDelete
  30. Mambo mengine bana ni kufanyana wajinga. Mwamfanya Diamond msanii mkali na ha gana lolote...labda aende ajiunge na illuminati huko marekani ndio afikie level hio

    ReplyDelete
  31. Heee basi yanawatoka maneno mmh tatizo tunahusudu mambo ya wenzetu ndo maana tunaitwa nyanii kwa ujinga Wetu,hebu jiheshimuni mtaheshimiwa kama mataahira tu hamjielewi wabongo.

    ReplyDelete
  32. Huyo babu yake asimuache Ana kimbola huyo

    ReplyDelete
  33. Dogo elimu ndogo thats why..anatakiwa kuji establish sana tena kwa miaka mingi..otherwise atakuwa kitorondo kama Mr Nice

    ReplyDelete
  34. Akikutana na kina chrs brown anawasiliana nao kwa lugha gani?

    ReplyDelete
  35. lugha anayowasiliana nayo anacheka cheka tu ailingee nn km zombi vile

    ReplyDelete
  36. Congratulation for a good job you are doing but try to change you songs all songs you have to mention wema, joket, walpor look for wards don't go back those finish now your level is with big singers you are someone else bro

    ReplyDelete
    Replies
    1. WE nae eti kingereza kuma sembe we..ndio nyienyie

      Delete
  37. wameshobokakwalipi achaujinga admin yy kajitaidisana ilausiweunaletahabarizakikuma

    ReplyDelete
  38. wameshobokakwalipi achaujinga admin yy kajitaidisana ilausiweunaletahabarizakikuma

    ReplyDelete
  39. ninyi makukuuuuuuuuuuuuuuuu mlitaka akutane na mama zeni awatombeee au dada zenu awafilee...au ulitaka wewe ukutane na neely bas km unaona diamond hafai nenda wewe tuone km utafika hata airpot kwa nyerere hapo tuuu kumaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad