Mabinti Msio Ndani ya Ndoa, Ndoa Nyingi za Matajiri ni Utata Mtupu Msihadaike!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mabinti walio wengi hutamani sana kupata wenzi wao wa maishay aani waume wenye uwezo mkubwa kifedha,yaani mume ambaye ana nyumba nzuri tayari,gari la kutembelea na mazagazaga mengine kibao yanayoonyehsha maisha ya kifahari na starehe. 

Lakini nyuma ya pazia kuna mambo wasiyoyajua yanayowapata wake wa matajiri ambao kwa nje wanaonekana wenye furaha wanaishi vizuri na wanafurahia maisha wala hawana shida yeyote. 

Inaweza ikawa hivyo kwa nje lakini kihalisi kuna mambo ambayo walio wengi hawafahamu hutokea kwenye ndoa za matajiri na hivyo mabinti wengi kuwa na ndoto za kuishi kitajiri na kufanya bidii kupata mume wa ainahiyo na kisha kuvunjika moyo mara baada ya kukutana na hali halisi:je wajua kuwa:

1.Wake wengi wa matajiri wana magari mengi ndani ya nyumbalakini huenda hajui hata ndani yake panafananaje zaidi ya kuyashika kwa nje tuau kuyaona tu yale pale yamepakiwa?

2.Maneno ya kumsimanga mtu kama vile unajua gahrama ya hivivitu wewe,?au ulivionea wapi hivi vitu wewe,unayajulia wapi haya mambo,vyakula hivi,kwenu uliviona ?na mengine mengi ni ya kugusa?

3.Wake wengi wa matajiri hawana nafasi ya kuhoji mumeanashinda wapi na nani,majibu yanayotolewa hapo,:unafikiri haya maisha unayoishi hapa yanakuja tu hivihivi,unafikir tukikaa kuangaliana sura utaviona vyote hivi?

4.Wanaume wengi matajiri hawaishi masimango kama vile unishukurumimi bila mimi usingekuwa hapo ulipo wala watu wasingekutambua,ulikuwa na ninicha maana,nimekutoa ukiwa huna mbele wala nyuma(hata kama kwa kweli alikukutaunajiweza kwa kiasi Fulani)

5.Wanaume wengi matajiri hawana nafasi ya kuonyeshaupendo,kukaa na kuwajali wake zao,mara nyingi wako bize na shuhguli zao na hatamke akiomba walau apate nafasi ya kukaa na mume waongee mawili matatu,mumeanajibu huli,huvai unalala chini?hayo ndo majibu.

6.Mara nyingi wake za matajiri hawashirikishwi kikamili auhata kidogo kwenye shughuli zinazowaingizia waume zao utajiri huowalionao,pengine hata kama mume ana kazi basi mke kamwe hawezi jua mapato yamume wake kwa mwezi yakoje.
Jamani mabinti hayo ni machache tu yaliyo nyuma ya pazia kwenyenyumba za matajiri walio wengi.

Kwa hiyo tahadhari kwa mabinti usitamani sana kumpata mumetajiri kwa kujua kuwa ndo furaha ya maisha, japo sio vibaya kupata mume anayejiweza, tena ni vizuri zaidi kuolewa na mume mwenye uchungu wa maisha na malengo yabaadaye ya maisha yenu na watoto wenu. 

Mbaya ni hii tamaa waliyonayo mabinti wengi ya kutaka kuolewa na mume tajiri sio ndoto nzuri sana,mengiyamejificha na kwa kuwa kuta haziongei ndo basi tena mume na mke matajiriwakitoka wameshikana mikono,tabasamu pana unadhani wameyamaliza maisha kumbeni ni siri ya kuta za nyumba zao.

Quote of The Day:

I hope everyone that is reading this is having a really good day. And if you are not, just know that in every new minute that passes you have an opportunity to change that.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kaka uwo ni ukweli mtupu ingawa si wote wenye kufanya ivo. .

    ReplyDelete
  2. acha uchonganishi, masikini na tajiri wote wanamatatizo yao, swala ni kupendana ndani ya nyumba kama unaolewa humpendi au wewe hakupendi potezea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe umeikurupukia mada naomba uielewe ndipo ujibu

      Delete
  3. mwanaume wa aina hiyo angalia na elimu yake na ameupata huo utajiri katika mishingi ipi ukijua tuu utaweza kuishi nae. Kula raha akikupa laki bana elfu ishirini themanini tumia baada ya muda nunua gari lako uone kama hajafa huyo wanakuwaga na wivu tu hawana lolote hao.

    ReplyDelete
  4. ukiwagusa kidogo tuu wanatafmni kufukiwa wazima labda wapate mwanamke mpole na ambaye hajasoma kabisa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweliiii mwanamme mwenye uwezo anataka umsujudie kama mungu hawajui kama mke ana haki yake hata chakula anakubania vile vile atasema kwenu uliyaona hayoo

      Delete
  5. Klyn na mzee machache wako ufaransa wanakula bata,mzee sasa Hivi kawa kijana chezea Klyn,na poda anampaka,alishaanza fifiaaa lakini siku hizi nuru yarudi taratibuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. watakuwa wameenda ku......au kupandikiza mbegu wapate watoto wengine.enjoy mwaya.kila mtu anatumia njia zake aishi maisha bora.

      Delete
  6. Kumbe makaratasi yalikuwa yanamfanya spora ajifungie London sasa Hivi kayapata basi basi anazua visafari vya ajabu ajabu Eti anadai anapenda mbuga za wanyama Kwani wewe mzungu?mschweeee!

    ReplyDelete

Top Post Ad