Uchaguzi wa washiriki wa Big Brother: Siri iliyofichuka nyuma ya story ya Dida na Mume wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimeangalia video iliyowekwa mitandaoni inayomuonesha Yule aliekuwa mume wa Dida akihojiwa sababu za kuachana na mke wake.

Kuna hiki kitu amekitaja kimenivutia kdogo nidadisi
" Kwamba Mult choice walikuwa wanamuandaa Dida kuwa mshiriki wa mwaka huu? Tena kabla ya mchakato rasmi kuanza??

Je hivi ndivyo ina vyokuwaga au ??
Na Jee ile Interview ya Tarehe 11 Jul ni Kanya Boya? Mshindi Alishachaguliwa?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pumba tuuu,nonsense,ebu tutoleeni habari za dida umu,ndoa tatu?kasorooooo kaoge maji ya bahari una matatizo makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  2. "Furaha" plus Dida = kiinglish

    ReplyDelete
  3. Kwikwikwiiiiiiii dida weeeeeee

    ReplyDelete
  4. da siamini kama kaachwa nyodo nyingiiiiii instagram,edzen,edzen kutwaaaaaaaaaaa alikuwa ananikeraaaaaaaaaaaaaaaaaaa,da sasa hivi tumepumzika.

    ReplyDelete

Top Post Ad