Batuli:Sitaki Kusikia Tena Habari za Mtunisi Mimi na Yeye Mapenzi Yalikwisha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya
WAMEMALIZANA! YOBNESH Yusuph ‘Batuli’ anayekimbiza kunako soko la Bongo Movies, amefunguka kuwa hataki kusikia habari za aliyekuwa mpenzi wake aliye pia msanii mwenzake, Mtunisi kwani mapenzi yalishaisha.

Akistorisha na paparazi wetu, Batuli alisema hataki kumsikia wala kujua habari za Mtunisi kwani mapenzi yalikuwa zamani lakini kwa sasa kila mtu ana maisha yake yaani yeye Mtunisi ana mke na yeye ana mpenzi wake.

“Mimi kwa sasa nina maisha yangu na Mtunisi ana maisha yake nawashangaa wanaoniandama kwa maneno kwamba bado niko naye, jamani Mtunisi ana mke na mimi nina mpenzi hivyo sitaki kusikia habari hizo  kabisa,” alisema Batuli.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pakabasi mkorogo mpaka miguuni vidoleni.uko Pepsi mirinda.mkorogo hoyeee pole lakini

    ReplyDelete
  2. Kwahy ulivyokuwa nae hukujua kama ana mke..hujielewi ww


    ReplyDelete
  3. Ukilitizama toto la haja.. la kuliweka ndani ka mke, guu guu, tako tako, sura nzuri but kichwani ndo hamna kitu maskini!! Kuuutwa kutafuta promo kwenye media... na kikuku hicho ndo tujue ka unatoa kabaang goli la kwanza mpaka la mwisho.. ptuuuuu, umalaya mtupu!!!

    ReplyDelete
  4. kabaaaang.....tigo.

    ReplyDelete

Top Post Ad