Irene Paul wa Bongo Movie Akiri Kuishi na Mwanaume Bila Ndoa

Angelina Jolie wa Bongo’ Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia.

Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema; “Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi zaidi.


“Naishi naye, nampikia na kumpakulia ila ndoa bado, nadhani kilichobaki ni hicho kufunga pingu za maisha.”

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ANGELINA JOLIE AWE HUYU DHUBUTUUUU

    ReplyDelete
  2. kila laheri, ila angalia tusisikie ooh unajua alikua ana mambo fulani hayavumiliki kwahiyo nimeshindwa kuvumilia, lakini kiukweli nakukubali sana Irene hauna skendo na kazi zako nzuri

    ReplyDelete
  3. kaz zako nzur ila kama utaanza kujianika mitandaoni ztakushinda sasa hivi

    ReplyDelete
  4. safi sana Irene,kujua maisha yako zaidi ya sanaa hawa waandishi wa habari ni kuanza kukuharibia,watakuandika kila siku,hawana muamana walio wengi wenye kazi hii,
    chunga sana,all the best.

    ReplyDelete
  5. Acha ujinga unawambia watu mamboyako ili iweje fanya yako kimyakimya

    ReplyDelete
  6. Unapika na kufua bila ndoa?? Unagalagazwa namna hiyo, hivi huna wazazi?

    ReplyDelete
  7. bayaaa silipendi. limbukeni akipata matako hulia mbwata... anajiona almasi siku hizi

    ReplyDelete
  8. unampikia na kumpakulia nini?

    ReplyDelete
  9. pika sana bibi wee ishi utakavyo uctutangazie

    ReplyDelete
  10. hongera kwa kumpata pedeshee wa aka "tunayaangaza maisha yetu"..

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad