Gardner G. Habash Apangua Madai ya Kuachana na Mke wake Lady Jay Dee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji Maarufu Gardner G. Habash  Ambae pia ni Mume wa Mwanamuziki Lady Jay Dee Amezipangua Tuhuma ambazo zilienea Kwenye Mitandao Week iliyopita kuwa ndoa yao haipo tena, Gardner Amesema kuwa watu wanaunganisha unganisha matukio na kutunga yao ila si kweli kwamba wameachana...

Si mara ya kwanza kwa mastaa hao kudaiwa kutibuana kwani walisharipotiwa kutaka kutengana lakini mara nyingi huwa wanakaa chini na kuyamaliza kimyakimya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe umezidi umbeya.tuwekee na ya kwako tu-comment.

    ReplyDelete
  2. Hahahahaha na kwel aweke yake tuyachambue

    ReplyDelete
  3. nimeipenda ya mdau wa kwanza, utakuta yake ndo hataa hayatatuliki

    ReplyDelete
  4. Ndoa taasisi ya kinafiki! Hata ukitobolewa jicho mbele za kadamnasi utasema umepata ajali ya bodaboda!

    ReplyDelete
  5. kila lakheri bidada..ila mzalie g katoto jamani

    ReplyDelete
  6. Mmmh kila la kheri ndoa yenu idumu ila G punguza kuchepuka...hakuna jipya wazuri wengi huwezi kuwamaliza wote rizika na ulie nae..ukishikwa shikamana my kaka..

    ReplyDelete

Top Post Ad