Jokate Naye Avamia Fani ya Bongo Flava, Ahahidi Kumzidi Venessa Mdee

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo Jokate Ambaye Tumezoea kumuona Kwenye Mitindo na Utangazaji Naye Ameamua Kufuata Nyayo za Mtangazaji Mwenzake Venessa Mdee Kwa Kujiingiza kwenye Fani ya Kuimba Bongo Flava, Jokate Kwa mara ya Kwanza alipanda jukwaani na Wacheza Show wake kwenye Show ya Ufunguzi wa Fiesta Huko Mwanza na Kushangiliwa sana Mashabiki kwani Alifanya Kama Surprise. 

Udaku Specially Tuliongea nae kuhusu hilo la kujiingiza kwenye music Akasema amejipanga sawa sawa Mashabiki wakae tayari kwa Mambo makubwa kwani yupo kamili na amesema lazima amzidi Venessa Mdee Ambae ni mwenzake katika utangazaji. 
Je Ataweza?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mh mbona Jokate ameanza kuimba kitambo tu toka african queen na Ay akatoa nyimbo nyengine na lucci inaitwa kaka na dada sio anaingia kitambo yupoo

    ReplyDelete
  2. Usisahau tu kufanya kolabo na X wako

    ReplyDelete
  3. Yani Joketi tangu umvulie diamond chupi nimekushusha thamani,wewe ulitakiwa uvulie chupi watu Wa maana sio diamond.duuuuuu,AMA kweli ukiwa na PESA utalala hata na Beyonce.

    ReplyDelete
  4. Mwahahaha! Mi changu kicheko tu. Eti amzidi Vanessa mdee loh in your dreams

    ReplyDelete
  5. Diamond muachie wema na penny hizo ndo type za diamond.

    ReplyDelete
  6. Hahaaa anony hapo juu! Hata uwe cripple ukiwa na hela unang'oa Beyonce! Chezeya dollars weye!
    Tafuteni hela wanaume! Pesa ni sabuni ya roho! ni perfume yenye mvuto zaidi duniani!
    Free Pumbu wanamindije?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumanyoko zako wewe utakuja zikwa na hela zako hivi hivi unajiona. Pesa ni nini kilaza wewe linda utu na heshima yako ndio mwisho wa matatizo mbweha mkubwa weeeee usiyekuwa na haya nyoko zako na hiyo pesa ije ikuzike waalah

      Delete
    2. Unamwambia mwenzio alinde utu wakati wewe mwenyewe huna utu?
      Matusi ni utu?

      Delete
  7. pesa siyo kila kitu bwana, tatizo lenu nyie mademu wengi mnaaendekeza njaa! jitahidini na nyie muwe na shughuli za kukuingizieni mapato siyo mtegemee kutumia vidude vyenu tu, mtaumbuka!! huyu mtoto kajishushia hadhi kumvulia chupi yule domo!

    ReplyDelete

Top Post Ad