Mke Wangu Hajalikubali Jina la Mtoto Wetu; Nilitaka Tumwite UKAWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi nimezaliwa na kukulia uswazi wakati waifu wangu ni wa kishua. 

Jamii niliyokulia (hukoo uswazi kwetu) kuna katabia ka kuwapa watoto majina kulingana na matukio maarufu yanayotokea au majina ya watu maarufu. 

Mfano kuna watoto wanaitwa cossovo, sunami, osama, michael jackson (kipindi alivokufa), obama, samunge, neymar, baloteli nk....

Kasheshe inakuja kwamba mke wangu amejifungua kidume sasa mimi nimependekeza tumwite "UKAWA" (kwasababu ndio jina lililobamba kwa sasa Tz) lakini wife haelewi wala hasikii. 

Ubaya au uzuri jina hili limekubalika sana kwa ndugu na marafiki zangu. 

Sasa wadau hapo ndipo ninapovurugwa maana mwenyewe nilikua naomba sana mwanetu azaliwe kukiwa na tukio kubwa ili na mimi niadopt vizuri utamaduni wetu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mbwa we tena huna akili na hizo stor zako za kutunga.

    ReplyDelete
  2. Tena toa usenge wako baridiiiiii hapa

    ReplyDelete
  3. Lazma utakuwa juha ww....hata mm ningekuwa mjomba wa mtoto huyo jina kingeishia mdomoni mwako...nyoko weeeee!

    ReplyDelete
  4. msenge wee beba na we mimba ukizaa mtt ruksa kumuita UKAWa

    ReplyDelete
  5. Kweli we hamnazo toa ujinga wako kama VIP nawewe beba mimba

    ReplyDelete
  6. Usimpe jina la Ukawa, mpe jina linalofanana kidogo na la mwenyekiti wa UKAWA, Profesa aliyegombea urais wa nchi mara nyingi na kushindwa bila kugundua uzaifu wake kisiasa, huyo mtoto mwiite PUMBA kwa kifupi.

    ReplyDelete

Top Post Ad