Mwanamke Amchana Mwanaye kwa Wembe Aweze Kujisaidia, Alikuwa Hana Sehemu ya Haja Kubwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkazi wa Kata ya Kitangiri katika Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, Anastazia Ngilitu, amemchana kwa wembe mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili na wiki mbili baada ya mtoto huyo kuzaliwa bila kuwa na sehemu ya haja kubwa.
Aidha, amebainisha kuwa wakati wa kujifungua, mtoto huyo alifanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Bugando na kuwa baada ya muda mchache hali hiyo ilijirudia na kuamua kumnasua kwa kumchana bila kujua madhara ya aina yeyote ambayo yangeweza kumpata mtoto wake ambapo kwa sasa afya ya mtoto hairidhishi baada ya kuchanwa.

Wakazi wa eneo hilo wamesema wamekuwa wakimpa msaada mama huyu mara kwa mara, huku wakithibitisha maisha ya mama huyo kuwa ni magumu kutokana na kufukuzwa na mume wake na kupata kipigo.

“Kwa sasa sina fedha za kununulia chakula na fedha za matibabu za kumtibu mwanangu na mimi pia kwamaana titi langu lina uvimbe, naomba wasamaria wema wanisaidie kunichangia kwa chochote walichonacho” Alisema Bi Anastazia huku akilia
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole xn mama. Mungu yupo uckate tamaa atakushindia tu,mlilie yeye aliekuumba kwan ndie aijuae kesho yako na ya mwanao.

    ReplyDelete

Top Post Ad