Aibu! Mrembo asababisha Steve Nyerere kuzomewa uwanjani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

NYOTA wa kuigiza sauti za watu maarufu aliye pia mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wikiendi iliyopita alijikuta akiaibika kwa kuzomewa na kupopolewa kwa chupa za maji na mashabiki wa Klabu ya Simba baada ya kuingia uwanjani na demu aliyevaa ‘kihasarahasara’.Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’akiwa na mrembo huyo.Ishu hiyo ilijiri Jumamosi ya Septemba 20, 2014 ndani ya Uwanja wa Jamhuri mjini hapa wakati wa pambano kati ya Yanga na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo wenyeji walishinda 2-0.

Steve alitinga uwanjani saa 11:00 jioni akiwa na demu huyo mrefu kwake,aliyetinga kipensi cha jinzi kifupi na tisheti ya njano na kijani (zinazotumiwa na Yanga).
Wakati wawili hao wakipita kwenye jukwaa la mashabiki wa Simba, ndipo walipozomewa na wengine kuwarushia chupa za maji kwa kile kilichodaiwa kuwa, demu huyo alivunja maadili ya Kitanzania kwa kuvaa kihasara hadharani
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we admini mavi nini? kavaaa kihasarahara kivipi hapo? jezi ya Machampioni Dar Young Africans inaiiita hasara, pumbaf!!

    ReplyDelete
    Replies

    1. Tena admin hapo kachemsha,wakati watu tunajadili jezi hii ndio iwe ya Taifa yeye anasema kihasarahasara?mpumbaf thaaaaaaaaaaaana!Admin chunga sana,huoni kama ndio rangi ya nchi demu kavaaaaaaa?

      Delete
    2. wana YANGA damu eeeeeeh!

      Delete
  2. kaka/dada hapo juu mbona hasira!! Yanga wamekuudhi nini? au we lambalamba!!! Jaja jaja jaja jaja!!!! uliliona lile goli la ulaya eeeehhh!!

    ReplyDelete

Top Post Ad