Diamond 'Kusema Ukweli Sina Mahusiano na Meninah. Kila Mtu Anajua Mie Wangu ni Wema'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Diamond Platnumz amefunguka kuhusu tetesi zinazoendelea kuwa ameachana na Wema Sepetu na kwamba ana mpango wa kufunga ndoa na Meninah,  Diamond alisema kuwa tetesi hizo zimekuwa zikimhuzunisha kwa kiasi kikubwa.

“Unajua hizi habari kiukweli zimekuwa zikinihuzunisha sana,” amesema superstar huyo wa muziki wa Bongofleva Tanzania.

 “Unajua mie ni mtu mmoja ambaye sipendi kuzunguzia mambo ya rumors, siju magazeti huwa sipendi kuzungumzia kabisa, kwa kuwa najua kabisa siwezi kubishana na media kwakuwa media ni kubwa, maana najua utaongea na huyu na yule siku ya siku utagombana na watu. Ndio maana huwa nakaa kimya,” ameongeza Diamond anayetusua shows katika nchi mbalimbali ndani na nje ya Africa kwa sasa.

“Kusema ukweli hili suala limekuwa likiniumiza ‘eti sijui kuna vikao vya harusi mie nataka kumuoa Meninah’. Kusema ukweli sina mahusiano na Meninah. Kila mtu anajua mie nina mahusiano na Wema.

“Wema ndo mpenzi wangu, ila wakati mwingine nakuwa naelewa ile inakuwa ni trick ya kibiashara. Mtu anajua hata nikimuandika vipi ‘Diamond sijui kafanya nini watu hawawezi kumchukia!

Kwahiyo wanaamua kunitengenezea chuki na maadui kwa watu kuwa nipo na mwanamke wangu halafu namsaliti” alisema Diamond  na  kuongeza
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Daimond nisameheeee bureee nimekutukana sanaaaaaaaaa,Na akutukanae akuchagulii tusi.Wewe ni muislam hata wake 100 mnatuhusiwa.Wema anakupenda kiukweli,hao kina kumaninah wanakupendea kwa kitu Fulani ,wake up!!!kamuacha pedesheee Clement akakufuata wewe,we ushituki?grow up,don't hurt peopl s feelings.

    ReplyDelete

Top Post Ad