Natafuta Dancers Wa Kike Kwa Muda Mrefu Ila Bado Kupata Wenye Viwango Vya Kimataifa: Diamond Platnumz.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Licha ya kuonekana na madansa wa kike katika jukwaa la Fiesta 2014 Mwanza, Diamond anasema hajabahatika kumpata dansa wa kike mwenye vigezo anavyovitaka.
“Sina madansa wa kike pale wawili ni wa Vanessa naweza sema wote si wangu, zamani nilikuwa na madansa wa kike, lakini kwa sasa Tanzania tuna upungufu kwenye muziki wa Bongo Fleva na muziki wa bendi kuna madansa ambao wamebobea kucheza muziki wa dansi pekee. Nilitamani kuwa na madansa wa kike zamani lakini ilishindikana maana kuwapata ni ngumu sana,” anasema na kuongeza:
Mpaka sasa bado natafuta madansa wa kike sijawapata, nahitaji dansa wa kike ambaye anajua, awe anajiamini afuatilie madansa wa nje wanachezaje, awe na unyamwezi kidogo ni ngumu sana, awe mbunifu afuatilie muziki wa nje na vitu kama hivyo. Kwa hiyo nikatamani nifanyaje nikaamua kuazima madansa wa watu nifanye nao shoo,” anasema.
Akiwazungumzia madansa wake wa kiume ambao ni sita, Diamond anasema ni madansa wanaolipwa pesa ndefu ukilinganisha na madansa wote Afrika Mashariki.
"Siwezi kusema nawalipa kiasi gani itakuwa kama nawavua nguo, lakini hakuna madansa wanaolipwa vizuri kama wangu Afrika Mashariki, ikiwa bei inaongezeka na mimi nawaongeza katika malipo yao. Wako sita kwa kweli nimetoka nao mbali tangu ‘Kamwambie’ mwaka 2009, nimekua nao kifikra, kiumri na kiakili na kuona kwamba hawa ni mzigo wangu mimi na wanafanya kazi pamoja na mimi, wale ni mafanikio yangu wana msaada mkubwa sana pengine nisingekuwa hapa bila wao,” anasema.
Hata hivyo, anaweka wazi kwamba linapofika suala la shoo za nje, huwa inategemea ni wapi kwani shoo zingine hairuhusiwi kwenda na madansa wote hivyo huwa anawabadilisha kwa zamu.
Katika mahojiano hayo maalum na Mwananchi, superstar huyo alisema kuwa kwasasa muziki wa Bongofleva unakubalika nje ya nchi tofauti na zamani.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hamna cha dancer wala nini,eti dancer awe na kinyamwezi(English)mbona wewe hujui English?we unatafuta mwanamke Wa kumshugulikia ukiwa safarini nyooooo Malaya mkubwa,na mijanamke ilivyolkuwa dhaifu UCHI itampa.Ana cha dansa wala nini anatafuta Malaya Wa kumshughulikia akiwa safari.

    ReplyDelete
    Replies
    1. taratibu bsi kama hauwez kuwa dancer wake kausha tu wapishe njia wengine wafanye yao ayo ya kuwashughulika akiwa safar ni muhim ss binadamu bhana KAZI NA DAWA

      Delete
  2. Wema anakutoshaa Kinyamwezi anajua, kiuno anacho na nyonga anajua kuzichezesha huna haja ya kutafuta Dancer wa kumtomba ukiwa safarini.

    ReplyDelete
  3. Dancer wa kike tena?mbona madame anatosha sana!

    ReplyDelete
  4. Huyu brother ni nourmeer,na wanawake tulivyokuwa wepesi ngoma aijapigwa tushacheza zamaniii

    ReplyDelete
  5. Mwanamke atakaye olewa na Domo awe na roho ya chuma,Haki ya nani ingekuwa Mimi siweziiii,ni muoga sana Wa magonjwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad