Admin Wako Nimeambulia za Uso Kutoka Kwa Wadau Baada ya Kumtetea Miss Tanzania..

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Duuh ..Nimekoma! Leo nilipost Post Moja Nikimtetea Miss Tanzania kwa Kile Kinachoendelea Mitandaoni Kuhusu Ushindi wake na Umri ..Yenye Kichwa cha habari : Tumechokaaa na Story za Miss Tanzania ooh Hana Vigezo ooh Sijui Mkubwa Mara Nini na Nini
"Watz bwana hata angepewa nani hilo taji la miss Tanzania msingerizika mngemchamba tu ! Muacheni Mtoto wa watu apumue kama kushinda ndio kashashinda umri wake unaingiliana vipi na umiss?"

Nilichoambulia nia Kupewa za uso live Bila chenga ....Hii inaonesha Issue hii ya Miss Tanzania Bado Inaendelea kuwagusa Watu Sana Kiasi kikubwa.

Soma Hapo chini Nilichoambia na Wadau wa Udaku ...Mekoma mie...Wapi Lundenga?



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WALA USJALI WE MTETEEE TU

    ReplyDelete
  2. ndiyo atatukanwa tena

    ReplyDelete
  3. lakini huyu miss ni noma mi siyo mshabiki wa haya mambo lakini imenigusa. et ni kwamba anatafuta umaarufu ili foundation yake iweze kuwa na jina na ipate msaada.

    ReplyDelete
  4. kwa wanaomjua wanasema yule moto ni wake na ana miaka zaidi ya nane na alimpata wakati akimaliza form six alipokuwa na umri wa miaka 19

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumbeeeeeee! Kwa hali hiyo ngoja tusubiri na baba wa mtoto atajitokeza muda si mrefu,Na movie ndio itanogaje!

      Delete
  5. Baba yake ndo alitumia wazifa wake kumlubuni Lundenga na kumpa hizo fedha (rushwa) ili amuweke Sitti kama mshindi hiyo ni kwa ajili ya faida za familia ili foundation iweze kutambuliuka na Lundenga anajua kabisa Miss world hatufiki kokote

    ReplyDelete
  6. Mpumbavu wewe unajifanya kutetea ujinga wakati kila kitu kipo wazi? Ushabiki maandazi wako kaa nao chumbani si humu. Au na wewe umepoozwa kama yule babu lundenga nini??

    ReplyDelete
  7. Pole Admin,Ila siku nyingine usitetee jambo ambalo liko wazi kama hili.

    ReplyDelete
  8. Admin tuambie kuhusu mtoto,ni kweli ana mtoto?

    ReplyDelete
  9. Bahati yako,nilipanga nije kukushushia kipondo kabisaaaaaaa

    ReplyDelete
  10. Tunataka utuambie Lundenga kasemaje juu ya hili?
    Yaha lete udaku,kinara wa udaku duniani.

    ReplyDelete
  11. Huyo lundenga aseme nini kazikujamba nakuhara tu hana lakutueleza tunamtakia ndoa njema namkewe mpya.sitti

    ReplyDelete

Top Post Ad