Boss wa Home Shopping Centre apewa Ubalozi wa Tanzania China

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msiniulize vetting ya yeye kupewa Ubalozi huko Guangzhou China ilifanya lini, na nani na criteria zipi alizokuwa nazo huyu mwarabu wa Yemen mpaka kupewa Ubalozi.



1. Huyu jamaa hakufayiwa vetting yoyote ile whatso ever na usalama wa Taifa kabla hajapewa hiyo nafasi.

2. Familia yake na biashara zao zimekuwa kwenye kashfa nzito nzito za kwa ukwepaji kodi 

3. Salaah hana elimu wala qualification yoyote ile ambayo ingemfaya apewe nafasi hiyo. As a matter of fact how can you give a diplomatic post kwa mtu ambaye kaishia standard 6? 

4. Kwa sababu za kiusalama aka national security hafai kupewa hiyo nafasi. 

5. Kwa sababu za national interest hafai kupewa hiyo nafasi

6. Foreign wapo watu wengi sana ambao wana qualify kupewa hizo nafasi na washapitia hiyo vetting na due dilligence

7. Salaah na familia yake hawana intergrity -both professionally and personally kuwa ma diplomats wa tanzania kokote kule duniani

Kuna vijana wengi wa Kitanzania ambao wamesoma,wazalendo na washafanyiwa vetting na usalama na wapo Foreign hawapewi 

Sasa cha kujiuliza hibi serikali ya nchi hii ina maana gani kusomesha watu wake na kisha kuwaweka benchi pale foreign halafu wanaenda kumteua huyu mshihiri wa Yemen ambaye hakusoma kuwa balozi wetu huko china?

Mbaya zaidi utashangaa jinsi mawaziri na viongozi wa juu wa serikali wanavyo mnyenyekea wakati kuna vijana wa Kitanzania ambao wasomi wanaendelea kusota pale wizarani na nafasi hizi hawapewi.
Source:JF
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Heee!!!!! Hii NCHI HAISHI VITUKO JAMAANI, SASA HUYO MYEMI KUPEWA UBAROZI WAPI NA WAPI? NAKWAMBIA HAWA VIONGOZI UPUPU WA BARA HILI IKIWA NCHI YETU TANZANIA NDIO WNAOTUHARIBIA TUWE NA WAKTI MGUMU KATIKA NCHI ZETU WENYEWE NA MATAIFA YETU WENYEWE, KISA TUMEWAPA MADARAKA WANAYATUMIA WANAVYOTAKA WAO,SHAME ON U, YOU STUPID VIONGOZI

    ReplyDelete
  2. Wewe mwandishi ni mbaguzi na unavurugwa kiakili... Huwezi kusema kwamba hafai kuchaguliwa kisa rangi yake, wewe ndio usiosoma na unaekosa heshima!! Mnatoa habari kuwakosanisha wananchi wa taifa letu, nyie ndio mpigwe vita

    ReplyDelete
  3. Huyunae amalize miaka yake tu tumsahau kama marehemu ,katika maraisi wanaojua kuvuruga kwa interest zao wenyewe huyu namba moko.uwii mwaka uishe aondoke salama.watanzania tuwe makini natunaowachagua kuwa maraisi,tumuombe mungu atupe raisi bora mwenye hofu ya mungu na anaemjua mungu.sio bora raisi tu mtizameni kagame alivyomakini ktk nchiyake hataki ujinga uzembe ktk uongozi wake.nafikiri kilamtanzania wahali ya chini ameona nakuchefukwa nafsi najinsi ambavyo uongozi wasasa unavyoendesha nchi.kwawenye malizao hii nikawaida nahawajali.huyu kapewa ubalozi wanini kwa mfano nakwakigezo kipi?ukistaajabu ya bibi bomba utastaajabu nahaya same same shit

    ReplyDelete
  4. Mpaka ,wananchi watakapo sema mwisho wa haya mambo na nchi ,itapona gas itapelekwa Marekani,na China watu wataendelea kutegemea umeme au vibatari,kwa kukosa mwamko,uoga,wenye elimu wako kama hawaja enda shule,wajinga ndio wanapewa bendera ya nchi,kampuni 85% ZA tours ni za wageni,wenyeji,wasomi ,wanasubiri magazeti ya tangaze ajira,mara bachelor ,mara experience hiyo experience watu wataipata wapi ? kabla ya kufanya kazi.
    Tanzanite ,itaisha,cold,bado tutabaki ,wakiwa kwa sababu ya ujinga,na wasomi wetu Watanzania ndio wanaochekesha zaidi,hawajishuhulishi wako kama wasafiri bora wafiki,msomi ninaye ongelea nikuanzia aliye maliza darasa la saba mpaka chuo kikuu,wote wamelala,wanaona ni haki ,malighafi yote kuuzwa Kenya,bla faidia kwa nchi,mauwa,kahawa ,tumekaa tu ,tunasubiri miujiza ya Musa.

    ReplyDelete
  5. Nchi iwe kwenye majimbo,maendeleo yatakuwepo,yaani ukipita kutoka songea,hadi tanga,arusha,bado kuna umaskini wa kutisha huduma za afya ni ghali,uchafu kwenye mitaro,serikali za mitaa hazijishughulishi juu ya usafi,vijiji,ni manispaa tu wanajitahidi,na baadhi ya vijiji,mtu anakula mahindi anatupa gunzi kwenye mtaro ni nani? atakuja kuokota huo uchafu?,hakuna kiongozi mwenye sauti kama enzi za Augustino Mrema? nchi imekuwa ,sijui vipi? wageni wengi ndi o wameajiriwa sector za hoteli,inamaana Watanzania mpaka leo hawajui kiingereza? ukivaa ndala hoteli za kitalii mlinzi anakuzuia ,lakini mzungu anavaa,ujinga huu utaisha lini? au malapa haya wezi kulipa,na mbona wazungu wanavaa kanda mbili hawasimamiswi? ,Nyerere afufuke tu,na Sokoine,au basi jeshi lichukue nchi kwa miezi 6,kuna mambo ya kutisha sana,mipakani,hoteli za kitalii,usalama wa taifa wako likizo?au tuanzishe kitengo kingine cha kuelimisha na kushughulikia wageni?tatizo ni nini? uvivu,kuridhika,kuchoka madaraka,au mfumo wa elimu hausaidi ,kupambana na haya yote,Watanzania wachache sana wanafuka mipaka ukilinganisha na wenzetu,uoga,kutojiamini,vianzishwe vitengo vya kuelimisha wasafiri watanzania kuhusu nchi nyingine na sheria zake,.

    ReplyDelete
  6. Hii. Si masrahi ya Taifa hili. Bari ni intrest za mtu huyo mmoja. Ana malengo yake na mipango yake. Ndio maana wakachwa. Hata wasomi wote wenye uelewo wa mambo. Hawa viingozi wengine waweza wauza wananchi wao bila wananchi kujua kama mmeuzwa. Kwani vuongozi vipofu wasioona hasa hili bara la Africa

    ReplyDelete
  7. Anafanyahivyo ili akumbukwe namafisadi wenzie atakapotoka madarakani.kwamba aliwapa cheo ilimambo Yao yaende.nandiomaana anawapa wajinga wenzie walafi ili walindane kwakula vizuri.hii mambo yakuchagua kiongozi handsome kijana natukome tulimshangilia hatukumtegemea mungu laiti kama mungu tungemshirikisha vyema asingepita hivi.uchaguzi ujao wakristo kwa waislamu kuanzia sasa wengi tunaomba mungu atupe raisi atakaefaa namungu hatotutupa tujitahidi natuache uoga.tusidanganywe narushwa wala sentence zao.mungu atawale uchaguzi makhafiri wamadarakani wasipite nabunge tulisafishe kwauwezo wa mungu.kilakiongozi atakae chaguliwa iwe nikwa uwezo wa mungu.ukiendakupiga Kura sema namunguwako.zile ndumba zao zi fall down.natunaweza unamchagua aliesahihi

    ReplyDelete

Top Post Ad