Hii Ndio Zawadi Aliyopewa Diamond Jana Kwenye Birthday Yake, Kwa Taarifa yako Haikutoka Kwa Wema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jana Ilikuwa Ni Siku ya Kuzaliwa ya Mwanamuziki Anaye Make Headlines Bongo na Nje ya Nchi Diamond Platnumz, Hakika wengi Walisubiri Kuona Mpenzi wake Wema Sepetu Atamzawadia Zawadi gani Kwa Vile Yeye Alizawadiwa gari na Diamond..So Wengi Tulisubiri kuona Atafanya nini ....Lakini Jana Zawadi kubwa iliyotolewa ilikuwa ni Gari Aina la BMW ambalo Diamond Alipewa Zawadi na Management Team yake ..Ikimaanisha kina Babu Tale....Mie Sikuwepo kwenye Party Hiyo kwa anayejua Wema Alitoa zawadi Gani Atujuze Basi Hapo Kwenye Comment.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Basi sawaaaa...alienacho huongezewa...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimi hata niwe Na kontena la PESA siezi poteza hela kumuhonga mwanaume kitu cha thamani,sanasana nitamnunulia mashati na suruali,nimnunulie mwanaume zawadi ya thamani???waiiiiii!!!!

      Delete
  2. zawadi tulioiona ni Denda.

    ReplyDelete
  3. hahahaa mdau zawad ni denda

    ReplyDelete
  4. anampa mangapi na anamthamin kwa mangapi dhawadi aliyonayo diamond ni kua mumiriki wa wema na heshima anayopewa diamond na wema ndo zawadi kubwaa zaid unaweza kupewa ht helcopter lkn km hupendeki kwa dem ni kaz bure wema anampemda diamond hiyo ni zawadi tosha l lv that couple

    ReplyDelete

Top Post Ad