Kimenuka! Kajala Amshitaki Mama Wema, Kisa Kamili Kiko Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio hilo, mengine yameibuka!

Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa kupewa nafasi ya kutoa ‘neno la hekima’ lakini akaitumia kumvurumishia mitusi aliyekuwa shosti wa Wema, Kajala Masanja.
KUNASWA KWA SAUTI NA PICHA
Baada ya sherehe hiyo, Jumatatu na Jumanne, mitandao mingi ya kijamii ilitumbukiza video yenye sauti ikimuonesha mama Wema akimrushia matusi Kajala kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutokana na kukorofishana kwa mwanaye na Kajala aliyewahi kumfadhili mahakamani kwa kumlipia faini ya shilingi milioni 13 asiende jela kwa kesi ya kuuza nyumba iliyokuwa na zuio la kisheria.


KAJALA AAMUA ZITO
Katika kufuatilia sakata hilo, Amani lilinyetishiwa kwamba Kajala baada ya kushindwa kuvumilia, ameamua kumshitaki mahakamani mama Wema.
Chanzo chetu kinadai kuwa Kajala alifikia uamuzi huo baada ya kushauriwa na familia sanjari na wafuasi wake (Timu Kajala) ambapo sasa, timu hiyo na Timu Wema wameingia vitani tena.
“Kajala ameshawasiliana na wanasheria wawili na kutoa maelezo yake, wao wanaandaa faili ili mashitaka yafike mahakamani, amekasirika sana.“Amesema mama Wema ametumia nafasi ya kukutana na watu kumdhalilisha bila kumpa nafasi ya kujitetea, ameona si sawa hata kidogo,” kilisema chanzo hicho ambacho ni jirani na Kajala.

MATUSI YENYEWE
Katika sauti, mama Wema anasikika akitamka matusi (hayaandikiki gazetini)  huku Wema naye anasikika akimsihi mama yake asimtaje jina Kajala kwa kuwa kufanya hivyo ni kumpaisha. Hapa inamaanisha kwamba, Wema alitaka mama yake afunguke lakini bila kutamka jina la mtu.
AGUNDUA TIMU KAJALA IMO NDANI YA BETHIDEI
Katika hatua nyingine, mama Wema alisema kauli iliyoashiria kwamba Timu Kajala ilikuwemo ndani ya bethidei ya mwanaye. “Nasema haya huku najua humu ndani kuna Timu Kajala, lakini nasema….(matusi mazito)”
KAJALA SASA
Baada ya madai hayo yote, juzi, Amani lilimsaka Kajala kwa njia ya simu ili kumuuliza ukweli wa madai hayo. Licha ya kutopokea simu ya paparazi wetu, alitumiwa ujumbe mfupi wa maneno ‘SMS’ na kuulizwa kila kitu.
Hata hivyo, badala ya kujibu alikaa kimya, baada ya dakika kama kumi na tano  alimrushia kwa simu mwandishi wetu video hiyo ambayo anadai kutukanwa na mama Wema bila kusema chochote hali iliyotafsiriwa kuwa kama alisema; ‘hebu oneni wenyewe jamani, nimemkosea nini mama Wema?

ALICHOKIFANYA MARTIN KADINDA
Katika hatua nyingine siku hiyo, meneja wa Wema, Martin Kadinda alikuwa na kazi ya ziada kuhakikisha, mama Wema na mama Diamond, Sanura Kasim ‘Sandra’ hawakai jirani au meza moja licha ya kwamba watoto wao wamependana.
“Kadinda ana kazi ngumu sana, unajua anatakiwa kuhakikisha kwamba mama Wema na mama Diamond hawakai meza moja. Sijui anaogopa nini, kwani hawa si watu ambao watoto wao wana mpango wa kuoana?” alihoji mwalikwa mmoja.
KUMBUKUMBU MUHIMU
Katika bethidei hiyo, Wema alizawadiwa magari mawili, Nissan Murano lenye thamani ya shilingi milioni 36 alilopewa na Diamond na BMW 545i lenye thamani ya shilingi milioni 56, inadaiwa alizawadiwa na Kadinda!
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

32 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hahahahahaha ngoma nzito wote wamekutana wamama wa kiswahili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mama dai anaafadhali kidogo huyu mama kabila maarufu kwa ........ ni shida matusi mbele ya watoto eti kafundwa afunde mwanae analiwa denda ovyo hata kitenge cha mkaja wa mama hajapewa...k wasamehe bure wagonjwa wa akili wale

      Delete
  2. Kajala,Kajala,Kajala,
    Naomba uachane na huyu mama,kwani matusi yanakupunguzia nini wewe?
    tangu uzaliwe hujatukanwa?au haya aliyoyukana mama Wema ni mapya?au yana harufu?
    Tabia yako na hayo mashindano ya kijinga haviendani dear,waachie wenyewe,
    kaa kimya.
    Ndio kwa mtu mwerevu kama wewe inaumiza kuona mama ambaye alitakiwa awapatanishe,anathubutu kutoa matusi mbele ya watoto,mbele ya watu wenye heshima zao,lakini ndio wamama wa kiswahili walivyo.Mbona mamako hatumsikii,kwani yeye hajazaa star?Jaribu kukaa na familia mutafakari upya,dunia tunapita tu jamani.Pole sana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Upo sahihi kabisa mdau! i like u'r comment.

      Delete
  3. Daah mdau nimekupendaje?
    Kimya ndio majibu sahihi kwa wenye viherehere.Pole Kay.

    ReplyDelete
  4. Haaaaaaaaaaaaa,hii habari nimekuta muheshimiwa fulani anaongelea kiasi cha kusema
    Paula amemzidi mama Wema akili,mweeeeeeeeeeee kumbeeee!Mbayaaa.

    ReplyDelete
  5. Mdau nimependa ulivyomshauri.kajala achana nao kaa kimya huyo ni bora mama simama bora.mbona we mama ako haongei pumba kama za huyo mama wema?kajidharaulisha tu huyo we mpotezee.kaa kimya nausijibu kitu aseme mpaka kufa.we omba mungu nausamehe.achana na magroup yakukushauri.ushauri chukua wa mama ako na wa babayako endelea kuwaheshimu wazazi Wako.usipende mashindano.hao wanakunyanyasia hio mil 13.ila mungu atakulipia omba kaa kimya.usitukane usijibu chochote,pambana na maisha kimya kimya.showing off achana Nazo.ishi km haupo.ukiomba mungu ukapiga kazi ukatoa vinyongo.ukakaa kimya utaona majibu mazuri tu kutoka kwa mungu.magroup achana nayo.ushindani tupakule.wazazi mwanao,nduguzo wanatosha.ujinga wawatu wengine wasikuambukize nawewe ukawa jinga

    ReplyDelete
  6. Any.12.35 ni funga kazi,kajala kama utachukua ushauri wake chukua,kama utadharau dharau kwa kuwa kila mtu ana maamuzi yake,lakini hata mimi namuunga mkono.Narudia,
    "ACHANA NAO."

    ReplyDelete
  7. Jamani kumbe ndio maana Dai anachelewesha ndoa! HIVIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII!
    Mama anatukana bila kujali watoto walio mbele yake?Ili iweje sasa?aise huyu ni bora mama kweli,na sio mama bora,Mmmmmm!

    ReplyDelete
  8. Mange kwenye blog yake amemsifia mamaake wema. Yaani nimemshangaa mange

    ReplyDelete
  9. Sasa mange nae siwalewale kasoro tarehe.bi Sandra najua unaakili ukokimya lkn picha umeiona hapo tokeni ndukii nachibu.mamagani anajitoa fahamu mbele yawanae mfyuuuuuuu.

    ReplyDelete
  10. Dai oa tu kufurahisha mashabiki lakini mmmmmmmmmmmmmmh

    ReplyDelete
  11. Huyu mama anahata staha mwenyewe anaona sifaaaa mtu mzm ovyoo mi mama ya kiswahiri kajala achana nao kukaa kimya ni jibu la mjinga

    ReplyDelete
  12. Hahahahahahahaha!Hata mtoto mdogo Paula kamzidi akili mama Wema kweli,maana alisema
    mie sipendi wanavyogombana,nawashauri wapatane.
    ila anonymous 1.31 umenifanya nicheke leo.

    ReplyDelete
  13. Mmmm huyu mama tuulizeni sisi tunae kaa nae jirani,
    NI SHEIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIDAH

    ReplyDelete
  14. kajala nae kayataka ,si ukasirike urudishe hizo milioni 13?wewe vipi?hata kama unasema hizo hela alipewa na clement,si wema ndo alimuomba clement akusaidie,?unajifanya huna hela kumbeee kapuku,rudisha hizo hela uone kama mtu atakusimanga.

    ReplyDelete
  15. wote wamekutana familia ya dai waswahili ya wema waswahili,wazazi awapendani,watoto wanapendana.kaziiiiiii kweliiiiii,KAJALA SIKU WEMA ALIVYOKUPA HIZO HELA UNAJUA TUNU NA MAMA YAKE WALIKWENDA KUMSHAMBULIA WEMA NYUMBANI KWAKE?WEMA AKAKIMBILIA POLISI?SASA RUDISHA HIZO HELA WE VIPI?AU HUNA?SI NASIKIA UNAMIHELA SIKUHIZI AU NI UZUSHI?RUDISHA HELAAAAAA BIDADA MAMA WEMA NI HASIRA TU ZA HIZO MILIONI KUMI TATU.MRUDISHIEEEEE.YAISHEEE

    ReplyDelete
  16. hivi nyie million 13 mnaona ni kidogo?kupotea hivi hivi?hata mimi ingekuwa mama wema ningetuka,mbali na hapo huyo aliyesaidiwa ndo wa kwanza kukaa vigengeni na kumchambua huyo aliyemlipia hizo million 13.kweli????

    ReplyDelete
  17. huyo kajala mnafiki mnuka choo!!!!!pale kasemwa yeye au umbea....yamemshinda akasugue gaga,

    ReplyDelete
  18. Nawe wanuka mdomo kapige mswaki.vi matako.kwani huyo wema aliombwa atoe hela sialitoa mwenyewe ilainaonekana alitaka atukuzwe.sasa uache kumtukuza mungu kisa mil 13.kajala ikibidi warudishie helazao hlf fanyakama hujawahi waona.tunaambiwa kwenye vitabu vyadini Toa mkono Wako wakuume wakushoto usifahamu.nyie mnatoa nakujishaua juu.kwendeni huko chibu ukioa hapa we bonge la fala labda uoe jina tu lakini familia hii sio.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we matako kweli wema ajaongelea mi 13 wala mama yake.yeye kajishuku kwa laana yake na m.13 itamtokea mkunduni.

      Delete
    2. Wenae kamchambe boss Wako mavi kashamaliza kunya kazi umbea tu nahuyo mama enu anaejisifia mitusi.mumuache kajala wawatu mil 13hamkulazimishwa mlitoa wenyewe mnaroho ndogo.ukimsaidia mtu ndio iweshida.uswahili tu.kwendeni huko nimwendo wa vipara tu.chibu unaakilisana mwendawazimu kaingiaje.team vitorondo huhuuuuuuuuuuu vee nyoko wasalimie wenzio

      Delete
    3. jmn mnajua back ground ya mama wema, she was bar maid

      Delete
  19. akili zenu fupi mngetukanwa nyie mngeenda mpaka kumloga huyo shangingi mzee. Watz mmezoea kupotezewa mkiwa mnawakosea watu sasa dawa yenu ni kushtakiwa kila siku adabu irudi

    ReplyDelete
  20. Weeeee were Vee Cash,warudishie million 13.ili kukata utepe,hilo la kupokea mil 13 za wema ni AGANO alivynjiki,rudisha hela hizo.AGANO livunjike rasmi,

    ReplyDelete
  21. Kajala nimeamini Hana hela wanamzusia tu,yaani Mimi ningerudisha hela kitambooooo.ooh kajala anachezea hela kumbeeee si kweli Hana kitu

    ReplyDelete
  22. Mama Paula piga kimyaaa.vitorondo haoooooooo.kutoka kuwa mtt wabalozi mpaka mtoto wakitaa bin mtoto wamama mitusi mchezo.ukitaka kujua hamnazo hao cheki walivyojisifia et mnyaturu original kwani sifa kubwa ya wanyaturu nini kwa kwakwaaaaaa wajinga ndiowaliwao.......thomas......mwendawazimu kaingiaje....eeeh vitorondooo singing in dai's voice.itafahamika tu.

    ReplyDelete
  23. aaaaaah aaaah aaah yaan ugomvi wa wema na kajala mnatukananana wenyewe kwa wenyewe kweli ustar ni habar nyingine kabisa,mimi siwez kumtukana mwenzangu kwaajil ya watu kama hao ukizingatia ata hakufaham,jaman acheni matusi kumbukeni kuna kifo vp utakufa na wema au kajala? je wema au kajala atakutetea siku yako ya uhukum kwa kumtetea yeye kwa mitusi? badiliken jaman

    ReplyDelete
  24. jamani ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.?????????????????????

    ReplyDelete
  25. Mil. 13 zasemwa mara kibao kwa nini?kwani ilikuwa ni mkopo?walikubaliana zirudishwe?
    kama sio hazipashwi kurudishwa hizo hela ,na sidhani kama wema anadai hizo hela,naamini ni mashabiki tu ndio wanachochea.

    ReplyDelete
  26. kajala yuko mlimani.ndio mwisho wa m13 mi nimejitolea kumlipia......na nyie kuma mnaosema matusi kafilweni matusi yalikuwepo ndio maana mpo.nyamafu

    ReplyDelete

Top Post Ad