Mateka Mwengine wa Uingereza Akatwa Kichwa na Wanamgambo wa Kiislam (ISIS)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kundi la wanamgambo wa kiislamu la Islamic state limetoa ukanda wa video unaoonyesha mateka Alan Henning raia wa Uingereza akikatwa kichwa.
Henning mwenye umri wa miaka 47 ambaye ni dereva wa texi kutoka kaskazini mwa Uingereza alitekwa nyara mwezi Disemba mwaka uliopita alipokuwa akilifanyia kazi shirika moja la kutoa huduma za misaada kwa wakimbizi nchini Syria.
Kundi la Islamic State ambalo limechukua udhibiti kwenye maeneo ya mpaka kati ya Syria na Iraq tayari lishawaua waandishi wa habari raia wa Marekani James Foley na Steven Sotlof pamoja na mfanyikazi wa kutoa huduma za misaada kutoka Scotland David Haines.
Mapema babake John Cantlie raia wa Uingereza ambaye anashikiliwa mateka na wanamgambo wa Islamic State aliomba kuachiliwa kwa mwanawe
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo movie inwafaa waso na akili kuamini kama wewe uloweka humu hiyo

    ReplyDelete

Top Post Ad