Mshiriki wa Tanzania Laveda Ndani ya Jumba la Big Brother Anaswa na Kamera Akipiga Puli Mbele ya Wenzake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo ni siku ya 20 tangu Big Brother Africa ya Mwaka huu ianze. Naamini kwa wale wanaoifuatilia wanaburudika vya kutosha na mambo yanayotendeka ndani ya jumba hilo.

Ni Shindano ambalo halikuanzishwa kwa lengo la kuenzi mila na desturi za kiafrika, bali lilianzishwa kwa lengo moja tu la kutoa burudani ya kutosha ambayo mwisho wa siku itawawezesha waanzilishi kujipatia pesa.

Turudi kwenye pointi yetu, kama ilivyo kawaida ya siku ya Ijumaa ndani ya jumba hilo, usiku wa kuamkia leo washiriki walikuwa wakiparty pamoja kwa kucheza na kunywa.

Baada ya burudani hiyo iliyosimamiwa vilivyo na Dj Izzy toka Botswana, dada yetu Laveda ambaye anaiwakilisha Tanzania katika jumba hilo alitoka na kuelekea kitandani.

Akiwa na mzuka wa kutosha, Laveda alijifunika shuka na kuanza kujichua( kupiga puli) pole pole.

Mtu wa kwanza kumshuhuda Laveda "akili PULINETI" ni mwana dada Mam Bea ambaye alistushwa na mnong'ono wa sauti za mahaba .

Ndipo mrembo huyo alipotoka na kuwajuza wenzake ambao hata hivyo hawakuonekana kumjali kwani "Pini" lilikuwa bado linaendelea!

Mam Bea aliendelea kuueneza umbea huo, hali iliyomfanya Idris( mshiriki wa kiume wa Tanzania) apandwe na hasira akitaka suala hilo liachwe kujadiliwa.

"Acheni Ujinga bana, mna ajenda gani,? Nini kigeni? Ntapiga mtu mimi!," Alifoka Idris akiwataka washiriki wenzake waliache suala hilo.

Hasira za Idris zilifanikiwa kudhibitiwa na Mr. 265 ambaye alimshika na kumsihi apunguze hasira.

" Yaishe mtu wangu, Hasira za nini kamanda? Achana nao!," alisikika Mr. 265 akimsihi Idris.

Ni ukweli usiopingika kuwa Idris ni mzalendo wa kweli na anaipenda Tanzania na ndo maana alipandwa na hasira baada ya kuona Laveda anazongwa zongwa.

Mangapi yanafanyika mle ndani? Watu wanaoga pamoja, tena uchi wa mnyama?

Eti leo hii mwenzao kaamua kupiga punyeto kupunguza hamu wanaanza kumsengenya!!? Hiyo sio haki. Safi sana Idris kwa kumtetea Mshiriki mwenzako na mtanzania mwenzako.

Laveda ni mtu mzima, ana hisia kama binadamu wengine. Pamoja na yote, bado ni mtu ambaye kimaadili anaongoza ndani ya jumba hilo. Kama huamini, tazama video za washiriki wanapokuwa bafuni uone ni jinsi gani anaoga.

Leo ni siku ya 20, nakuhakikishia hutaona video hata moja ikiyaanika maziwa yake hadharani. Ni mtu ambaye huoga na nguo tofauti kabisa na washiriki wengine.

Kesho jumapili, Mshiriki mmoja au wawili watayaaga mashindano hayo. Laveda ni miongoni mwa watu walioko hatarini kutolewa kesho.

Kura yako inahitajika sana kumfanya asitoke. Kuwa mzalendo, mpigie kura mtanzania mwenzako.

Matukio yote ya big brother yanaruka hewani mtandaoni kupitia www.bigbrotherafricans.com
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. piga puli? kwani hamna midume mmo ndani?

    ReplyDelete
  2. Yaani hili shindano sijui mchezo wa matusi au tuiteje sielewi......., SIUPENDI, SIUPENDI, nasema tena SIUPENDI KUPINDUKIA, kama ingekuwa amri yangu mimi, kati ya michezo NISIYOPENDA hata kuisikia, ni huu wa b'brother na Ma'miss...... yaani basi tu, natamani mheshimiwa Rais ajaye apige marufuku haya MAJANGA!

    ReplyDelete
  3. YAANI HUYU LAVEDA ATOKE TU, ANAAIBISHA TAIFA MXYUUUUUUUUU!!!

    ReplyDelete
  4. Mwacheni mtu na raha zake, mijianaume yenyewe ya siku hizi hamna kitu...akigusa tu nanihii tayari ashakojoa anamwacha mwanamke na nyege zake...sasa Laveda wa watu afanyeje!

    ReplyDelete

Top Post Ad