Rose Ndauka Afunguka 'Sitaki Kuwa na Mwanaume Tena

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Siku chache baada ya uchumba wake kuvunjika, msanii wa filamu Bongo, Rose Ndauka amefunguka na kusema kuwa kwa sasa haitaji tena mwanaume kwani anajikita zaidi katika kufanya kazi. 

Akizungumza na mwandishi wetu, Rose alisema katika maisha yake ya uchumba alijifunza mambo mengi na anamshukuru Mungu amempa zawadi ya mtoto hivyo anafanya kazi kwa bidii ili aweze kumlea mwanaye vizuri.

Alisema hajutii kwa yaliyomtokea kwa mchumba wake Malik Bandawe, kwani makosa yaliumbwa makusudi ili watu wapate kujifunza, hivyo akili yake kwa sasa anaiwekeza katika kazi zake za sanaa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dah mtoto anaonekana mtamu huyu!! dahhh!!

    ReplyDelete

Top Post Ad