Shehe: Aunt Ezekeil Hana Ndoa Tena Kwa Mujibu wa Dini ya Kiislam

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya na Chande Abdallah
SHEIKH Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa ameweka wazi kuwa msanii nyota wa filamu, Aunt Ezekiel ambaye aliolewa na Sunday Demonte hana ndoa kutokana na kukaa mbali na mumewe kwa zaidi ya miezi sita.

“Hakuna ndoa kati ya mtu yeyote ambaye amezidi miezi 6 bila kukutana na mumewe kwa mujibu wa dini ya kiislamu.

“Kwa kawaida mwanamke ambaye hajakutana na mumewe kwa miezi 6 au zaidi baada ya ndoa yao, hupaswa kwenda mara moja Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) kulalamika na hatimaye kudai talaka, ikiwa mwanamke ameridhika na hali hiyo, naye akaamua kukaa kimya huku akifanya mambo yake na kuanzisha uhusiano na wanaume wengine maana yake amejitoa mwenyewe kwenye mamlaka ya mumewe, hivyo hapo kunakuwa hakuna ndoa tena,”alisema Shehe.
GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuna kuna kitu kama hicho katika uislamu, unaruhusiwa kukaa muda wowote ikiwa mumekubaliana na unamtizama mke wako kwa matumizi yake ya kila siku. kwa kauli yake inamaanisha hawa wataalaam na wafanyabiashara waislamu ambao wamekuja nchini bila wake na familia zao hawana ndoa. Hapo Shehe hakumtendea haki Ezekiel kumtolea hukumu hiyo kwasababu hayajui mapatano yao ingekua vizuri akamuuliza kabla ya kutoa tamko hilo.

    ReplyDelete
  2. Kama kweli sheikh kasema hayo maneno basi atakuwa amepitiwa kwani hajui mapatano yao

    ReplyDelete
  3. Hee!
    Mimi mume wangu yuko jela kwa kosa ambalo mpaka leo uchunguzi unaendelea,na ni miaka 2 sasa,ina maana nije nidai talaka bakwata?au mie sijaelewa,nisaidieni wadau.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama mke ametelekezwa na mumewe kwa muda wa miezi sita au zaidi na hapati huduma yoyote ikiwa ni pamoja na unyumba na huyo mume hana udhuru wowote basi mke ana haki ya kwenda kwa kadhi kudai talaka yake,lakini kama mke anajua tatizo linalomsibu mwenzie basi inafaa avumilie.

      Delete
    2. Asante sana mdau.

      Delete
  4. MUKISHAFUNGA NDOA BILA KUKUTANA KIMWILI HATA MUME AKIFA MKE HAKAI EDA,LAKINI SIO KWA ANTIE NA MUMEWE KWANI HUWA ANAENDA NA SIO KWAMBA TANGU WAFUNGE NDOA WAKO MBALIMBALI.nina uhakika mwandishi umemnukuu vibaya
    sheikh mkuu.

    ReplyDelete
  5. Co shekhe huyo ni shehena

    ReplyDelete

Top Post Ad