Tetesi:Polisi Waliofukuzwa Kazi Kwa Kunyonyana Ulimi Wakiwa Kazini Warudishwa Kazini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Polisi mahaba waliofukuzwa kazi kwa kosa la kunyonyana ulimi warudishwa kazini kwa agizo la IGP. Inasemekana hakuna sheria yeyote inayokataza watumishi wa serikali au askari kuwa na uhusiano wa kimapenzi kazini na sio kosa kutongoza au kuwa na mpenzi sehemu yako ya kazi ili mradi usilazimishe wala kutumia cheo chako kumshawishi mtu kimapenzi. Kwa maana hiyo askari aliyeisambaza ile picha ndiyo amepewa onyo kali kwa kosa la kuharibu faragha ya wenzake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. IGP anatakiwa astaafishwe yeye hapa siyo suala la kufanya mapenzi ni suala la kufanya mapenzi muda wa ukiwa na sare ya polisi. Anataka kutuambia wanaruhusiwa hata kwenda kwenye mabaa na kumbi za starehe kucheza muziki wakiwa na sare zao.

    ReplyDelete
  2. nakupa big up IGP, kwanza hapo hawafanyi mapenzi, hiyo ni pozi tu, hata ukisema kunyonyana ulimi siyo hivyo, labda tuseme wanapigana kiss!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad