Paul Makonda Akana Kumpiga Jaji Warioba, Asema Anamheshimu Kama Babake Mzazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu wa Uhamasishaji Umoja wa Vijana wa CCM, Paul Makonda akionesha kwenye simu yake picha ya video iliyopigwa wakati wa vurugu zilizotokea wakati wa mdahalo wa kujadili raismu ya Katiba inayopendekezwa, kwenye Ukumbi wa Ubungo Plaza  jana, ambapo Makonda aliyedaiwa kump[iga aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Waziri Mkuu wa zamani Jaji mstaafu Joseph Warioba, amekanusha kumpiga leo katika mkutano wa waandishi wa habari, Dar es Salaam. Pia Makonda amesema kuwa ahwezi kabisa kudiriki kumpiga kwani anamheshimu kama babake mzazi. Amesema kuwa hata leo asubuhi amezungumza na warioba kwenye simu kumjulia hali. Warioba naye amekanusha kupigwa na Makonda wala mtu yoyote kwenye vurugu hizo.

Makonda akisisitiza jambo katika mkutano huo ambapo pia aliwaambia kazi kubwa aliyoifanya wakati wa vurugu hizo, ni kumsaidia Warioba kutoka salama pamoja na Mwanasiasa mwenye ulemavu wa macho ambaye pia alikuwa anamuokoa ili asipatwe na dhahama hiyo.

Makonda akiendelea kuelezea kuwa anasikitishwa na vyombo vya habari ikiwemo mitandao ya kijamii iliyomzulia kwamba yeye ndieye aliyesababisha vurugu wakati siyo. Pia amelaani watu wote waliosababisha vurugu hizo kwamba kitendo hizho kinadhoofisha demokrasia nchini. Habari, picha na Richard Mwaikenda wa Kamanda wa Matukio blog
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mamae zako Makonda mbwa kabisa wewe

    ReplyDelete
  2. Makonda ulaaniweee

    ReplyDelete
  3. Hana adabu huyo mtoto anafikiri yeye maccm wenzake wataishi milele

    ReplyDelete
    Replies
    1. msenge ww... kwan CCM ndo wameleta hizo fujo? au ni watu na akili zao mbaya kama zako. kama mtu kafanya kosa ni yeye na si chama. nyoooookooooo wew.

      Delete
  4. Nyie wote wajinga tu... hamjaelewa jinsi alivoelezea? na pia kunamtu alimuona makonda akimpiga muheshimiwa? msikurupukie mambo msiyoyaelewa eti sababu watu wanayaongea na nyie myaongee.

    ReplyDelete
  5. Wasenge utawajua tu

    ReplyDelete
  6. Hao wanaojiita wanaharakati pamoja na waandishi wa habari na vyombo vyao ukiwaondoa Uhuru na vya Serikali, wote ni UKAWA. Warioba mwenyewe kaulizwa kasema HAJAGUSWA HATA KIDOGO, wao wanang'ang'ania kapigwa, kapigwa.....MMETUMWA? Basi huyo alowatuma kumchafua Makonda na CCM, mkamwambie 'MLANGO MLOINGILIA ULIKUWA NI'WAKUTOKEA' kifupi mmepotea njia.....tafuteni jingine la kuzusha maana ndio kazi inayowaweka mjini........... 'alopewa kapewa CCM nambari wani'..........MPO!!!!!!

    ReplyDelete
  7. waambia hao njaa wanaendekeza mpk wameungana chezea wee ccm.na mtakoma

    ReplyDelete

Top Post Ad