TETESI: Eti Shilole hakwenda ubelgiji kufanya shoo kama alivyodai. Adaiwa kupelekwa kula bata na mzee mmoja mwenye pesa ya kutosha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kweli mjini kuna mambo. Hivi majuzi mwanadada Shilole aliuga umma kuwa anaenda ubeligiji kupiga show ya muziki, lakini wachunguzi wa mambo wametutonya kuwa jambo hili si kweli bali mrembo huyu amepelekwa nchini ubeligiji kula bata tu na mzee mmoja hivi mwenye hela zake za kutosha, na show ilikuwa kama njia ya kuzuga wananchi tu ili mpango wake huo usijulikane kirahisi hasa na mpenzi wake Nuh mziwanda ambaye ameachwa nchini bila kujua nini kinaendelea.

WACHUNGUZI WAMEJUAJE?

Wapasha habari hao wanadai kuwa, kawaida ya shilole akienda mahali kupiga show lazima kuwe na picha za kutosha juu ya tukio hilo, lakini safari hii akiwa huko ubelgiji ni picha zake tuu akiwa mitaani bila kujulikana hasa anafanya nini. Kwa wanaomfuatilia kwa karibu mwanadada huyo kwenye mitandao ya kijamii wanaweza wakatusadia kuhakikisha jambo hili

SIKU ALIYOSEMA ANAPIGA SHOW (JUMAMOSI TAR 29/11/2014)

Wadakuzi hao wanadai kuwa siku ya tukio hilo mwanadada shilole hakutupia picha kama kawaida yake walwa kuweka video ya show yake usiku huo (kama alivyofanya akiwa Cape town hivi majuzi ambayo aliweka mpaka video clip,) zaidi zaidi ya picha mbili tatu alizokuwa ameshikilia MIC bila ya watu (watazamaji) wala maneno yoyote ya kuonesha kuwa amepiga show ya aina gani usiku huo.

MASWALI YA MSINGI?

Je ni kweli mwanadada huyo alienda kupiga show? Ama alienda kunoniihino na jamaa huyu aliyeamua kulisha bata ndefu ulaya? Kama lipiga show kweli, je show hiyo iliboa sana kiasi kwamba hawezi hata kuweka picha? Au hii ilikuwa show ‘binafsi’?

Tupe maoni yako mdau...
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad