Wakati Wengine Wakitambulisha Wapenzi Wao Ali Kiba kaanza Mwaka kwa Kuwatambulisha Watoto wake kwa Mashabiki

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo Bonyeza Hapa
"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin
Una lipi la kumwambia Kiba hapo?
_________

 Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo na Makampuni Bonyeza HAPA

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. .......... u are gentleman kaka, unajielewa sana co kama bwana nanihii...!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. malizia tu aka Dangote..Kwan siri.??

      Delete
  2. Kwani huyu kaoa lini, au ndiyo wale wale chupi mkononi hata kinga hawazijui?

    ReplyDelete
  3. SASA WEE ALI KIBA NDUGU YANGU EWEWE HAA MIAKA 25 HUJAFIKA TAYARI UNA WATOTO 3, HUJAOAA WATOTO WOTE MAMA ZAO TOFAUTI HIVIKWELI UNAZO KWELI WEWE HANA KIBANDA BADO NA KULE MBAGALA YULE DADA YET UMEJIFANYA KUKATAA MTOTO ATI SIO WAKO WAKATI KILA MTU ANAJUA HILO KAMA NI WAKO MNAFANANA , BASI UWE UNA VAA KONDOM!

    KIGOMA UNA MTOTO NA ASHURA UJIJI, MBONA HUMUWEKI HAPO WATU WA MUONE? WEKA WAZI WEWE MPAKA SASA UNA WATOTO ZAIDI YA 7 AMBAO WANAJULIKANA

    ReplyDelete
    Replies
    1. mdau mbona povu linakutoka hivi, kaanza kuonyesha hayo, kama vipi nikuletee ndimu za buku kumi?

      Delete
  4. yaani kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  5. Huyu asiyetaka hata kuonyesha girlfriend ndio mbaya zaidi maana anawowa kila siku. Ila big up kama unatunza watoto unaopata katika ndowa zako!

    ReplyDelete
  6. Kila mmoja ana mama yake hapo.

    ReplyDelete
  7. safi sana Kiba!!! yule mwingine anatapatapa tu kwakubadilisha mademu kila siku akifikiria ni dili!!! yule hawezi.....!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke,Hujaipata hiyo ndugu?

      Delete
  8. Kwa nini kila saa kumlinganisha na D. Nyie acheni bana kila mtu ana ubaya na uzuri wake

    ReplyDelete
  9. KWELI DUNIA IMEISHA MNASAPOTI ZINAAA ? DAHHHHHHH.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad