Baada ya Kupigana Chini na Bushoke, Jini Kabula Amutambulisha Mpenzi Wake Mpya!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog: Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana  na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.



Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa  katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza  kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno  ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.

With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.

Mashabiki wake walimpongeza kwa kuweza kumpata mwenza na kutaka PROJECTII iendelee.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alikuwa nae hata wakati yuko na bushoke,na ndio maana akapigwa chini.
    Hongera kwa kuongeza msururu wa wanaume bi dada.

    ReplyDelete
  2. Hata mwezi bado ushapata mwanaume mwengine,lol!

    ReplyDelete
  3. ovyooooooooooooooo

    ReplyDelete
  4. Bushoke alifanya maamuzi sahihi maana alikushtukia km una mwanamme anamsaidia,haiwezekani ata mwezi hujatimiza uwe na mwanamme mwengine km si ukahaba kitu gani......Endeleza tu kuwaunganisha kama mshkaki wa kuku wala humkomoi mtu,utaipigisha mpaka isinyae iyooo...

    ReplyDelete

Top Post Ad