Baada ya Ndoa Yake Kuvunjika Uwoya Asema Yupo SERIOUS Kuhusu Mipango ya Ndoa na Mwimbaji Jaguar wa Kenya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Udaku Special Blog: Mwanadada Irene Uwoya amesema ingawa Jaguar alishindwa kuja kuzungumza na wazazi wake kuhusu ndoa yao, bado wanawasiliana vizuri na kila kitu kipo sawa.
Akizungumza na Mpekuzi, Irene amesema mahusiano yake na Jaguar yapo japo hajafanya maamuzi ya kuolewa.



Jaguar hakuja kuna vitu ambavyo vilitokea vikasababisha asije,”amesema mrembo huyo.

 “Kila siku naongea naye na uamuzi wake upo pale pale. Mimi mwenyewe bado sijafanya maamuzi ya kusema niolewe lakini akija ndo tutaongea kila kitu.”

Haya hivyo Irene amesema hawezi kuzungumzia ndoa yake na mcheza soka wa Rwanda, Ndikumana waliyezaa naye mtoto mmoja aitwaye Krish.

Sasa kuhusu hilo nisingependa kuliongelea, mimi nadhani sijui hata nisemeje, sipendi kuongelea mambo yangu binafsi.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ukiulizwa ya ndikumana yanakuwa mambo yako binafsi,
    kwani hayo yako na
    Jaguar sio yako binafsi?Ni /yamekuwa ya umma?
    Acha umalaya,dunia ni mduara.

    ReplyDelete
    Replies
    1. HASWA HEBU TUAMBIE YA JAGUAR NI YA UMMA??

      Delete
  2. kwanza ndoa ya kikristo huwa haivunjiki atazini tu akiamua kama anavyo fanya na wengine now

    ReplyDelete
  3. Huyu mdada nilishamdadavua sana na hata gari yangu alikuwa akiitumia,pongezi kwa Kikumba Kulwa aliyeniunganishia!

    ReplyDelete
    Replies
    1. NDIKUMANA TU NDIYE ANA MAPENZI PEKEE YA DHATI KWAKO WENGINE WAOTE WATAKAO KUJA HAKUNA KITU.

      Delete
  4. TENGENEZA NDOA YAKO WEWE!!!!

    ReplyDelete
  5. acha ujinga. Mchaga gani utaka kuvunja ndoa ili uolewe huko utakaa? si yaleyale tu? acha upumbavu mrudie mumeo. mjinga sana

    ReplyDelete

Top Post Ad