JIDE:Gadner Alitembea na Wahudumu wa Restaurant Yangu na Kuwashika Mapaja Wanawake Mbele Yangu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Moja ya Majibu ya Lady Jay Dee Alipoulizwa Swali hili na Shabiki wake: Huoni kama umejishushia heshma kuachana na mume?
JIBU : Sioni hivyo, ila naona nilikuwa najishushia heshma zaidi kuishi na mume asie na heshma, anaeweza kutongoza na kushika wanawake makalio wakati mi
niko jukwaani naimba.

Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini . Ukiachilia mbali vipigo.
Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu. Ushahidi ninao. …..niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia. Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. POLE MDADA NDIO WAUYME ZETU HAO

    ReplyDelete
  2. pole lakini wakati unaolewa uliyajua hayo na ulaolewa ukijua atabadilika tabia yamtu haibadilika jide

    ReplyDelete
  3. Pole sana! Afadhali umeondoka, dunia inakuhitaji na wewe unahaki ya kuishi kwa amani na furaha. Ni bora umemwachia.....kama Mungu alikupangia mwingine utampata tu. Tunakuombea maisha mema Jide.

    ReplyDelete

Top Post Ad