Mama Kanumba Awa Mbogo, Kisa Kufa kwa Ofisi ya Kanumba..Asema 'Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KUFUATIA kufungwa kwa ofisi ya aliyekuwa msanii nyota wa filamu marehemu Steven Kanumba ya Kanumba The Great, mama mzazi Flora Mtegoa amegeuka mbogo baada ya kuulizwa kuhusu hatima ya kikazi ya taasisi hiyo.
Watu wamezidi kunifuatilia mambo yangu, sitaki kabisa nimechoka, hii kampuni haimhusu mtu yeyote, hili ni jambo langu siyo lazima niliweke wazi, kama kampuni imekufa au itaendelea haiwahusu, wanaoamini imekufa waamini hivyo, maana hata Yesu walisema atarudi hadi leo mbona hajarudi?” aliuliza kwa hasira mama huyo.

Ofisi ya mkali huyo wa filamu za Kibongo, aliyefariki ghafla miaka mitatu iliyopita, ilikuwa eneo la Sinza Mori na ilifungwa wiki mbili zilizopita, baada ya mama huyo kudaiwa kushindwa kumudu kodi mpya ya pango ambayo ilipandishwa.

GPL
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. MMMMMMMMMMMMMMH!!!! ACHA KUKUFURU MAMA!!!

    ReplyDelete
  2. Sijui dini gani huyu bi mkubwa,au pagani?

    ReplyDelete
  3. Aaaaa huyu maza hn hekima kabisa mambo gani analeta hayo au bwaksi???mi kwanza nikiona maza wa umri wake anagonga ulabu afu yupoyupo haeleweki yupo single hues nawaweka kundi fulani hv,anyway tuyaache hayo ameshindwa kuendeleza rasilimali za mwanae toka aje kuzika toka shnyng hajarudi bongo ulaya wewe aiyaaa starehe za ukubwani tena...,

    ReplyDelete

Top Post Ad